ke na me tunatofautiana vitu vitatu tu.

ke na me tunatofautiana vitu vitatu tu.

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Kwanza
Maungo yetu ya kike na kiume

Pili
Mfumo wa uzazi unaotengenezwa na mfuko wa uzazi,mzunguko wa hezi, matiti kwa ajiri ya chakula baada ya dogo kuzaliwa.

Tatu na mwisho
Uwezo wa mwili kutengeneza Hormones kadhaa kwa ajiri ya kurutubisha maungo.

Zaidi ya hapo mambo mengine yoyote tunafanana,kuanzia uwezo wa kudevelop tabia,uwezo wa bongo zetu. Hivyo sioni sababu za kushinda humu ndani na kulaumiana na kutumiana shutma za kila aina tena katika namna ya kudhalilishana kwelikweli wakati ukweli ni kwamba aina ya mapungufu tunayoshutumiana wote tunayo.kama ni tabia za umaya wote wanaume na wanawake tunazo,kama ni uwongo wote sisi ni waongo,ulevi,ujinga wote tunaweza kuwa na tunaweze tusiwe,hakuna kitu cha kujifanya yeyote yuko bora.

Tuheshimiane.
 
Kabeji bei gani siku hizi hapo shimoni Kariakoo?
 
Pamoja na ukweli kwamba mawazo ya mtu yanatakiwa kuheshimiwa lakini sikubaliani na hoja zako as hazina ushahidi wowote wa kisayansi.Chimba zaidi kuliko kukurupuka kwa hasira.
 
Duu!pole, kuna m2 kakudharau nn?mwanaume na mwanamke hawafanan kwa hayo uliyoyataja,tunazdiana m2 na m2.
 
Back
Top Bottom