Uzoefu wa magari

Uzoefu wa magari

gomory

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
7
Reaction score
2
Mimi ni mtanzania wa kipato cha kawaida sana au tuseme cha chini.Ndoto yangu ni kumiliki japo gari dogo.Hofu yangu ni kuwa sijui lolote ktk ulimwengu wa magari hususani aina,bei,fuel consuption,uimara,upatikanaji wa spea nk.Kati ya magari niyapendayo kwa macho japo sifahamu lolote kuyahusu ni Toyota spacio,Toyota hurrier,toyota vitz nk.Tafadhali ndugu zangu nielimisheni nijue wapi pa kulenga.
 
Kwa gari ya kwanza nunua Suzuki Escudo. A.k.a 'Mangi'.
1. Ngumu (Engine na Body)
2. Reasonable Fuel Consumption
3. Spare kila kona
4. Cheap to buy & Low Maintenance.

Kila la kheri Mkuu!
 
Chukua Toyota Vitz itakufaa spea hadi kwa fundi baskeli unapata,kiwese cha elfu 60 unamaliza nayo mwezi mzima,bei ukiagiza mwenyewe ni 6 ukinunua kwa huku hadi 8.
 
Matumizi gani???!!!
Una familia????!!
Utakuwa na safari za mikoani??!!!
 
Yah!nina familia ndogo tu ya watu 3 matumizi ni mizunguko mifupi tu.
 
Back
Top Bottom