Ni mwezi wa nne sasa tangu nimekamilisha taraibu zote za kuungiwa umeme na Tanesco
kila nikiuliza jibu ni hakuna nguzo.Leo nimeambiwa eti kuna tetesi kuna shehena ya nguzo iko bandarini.Kibaya zaidi nikaambiwa kuna wateja wengine waliolipia tangu februali na bado hawajapata umeme.
Hebu wadau nisaidieni kunipa mwanga wowote juu ya jambo hili kwa mwenye kujua lolote.Je hali iko hivi nchi nzima au ni kwangu Musoma tu?