Nini mchango hasa wa Bale?

Nini mchango hasa wa Bale?

gomory

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
7
Reaction score
2
Mimi ni mshabiki wa timu ya R.Madrid.Nilishtushwa sana na usajili wa G.Bale ulivopewa kipaumbele na gharama ya ajabu na hata akatua Madrid.Tangu aanze kuichezea timu hiyo nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kuona cha mno alichonacho Bale lkn sijfanikiwa kukiona.Sasa kwa vile watu tunatofautiana ktk mengi,hebu nisaidieni kujua nini maalum kwa Gareth Bale?
 
Back
Top Bottom