Recent content by Gomegwa G

  1. Gomegwa G

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Wakuu, mimi nikitaka ku login naambiwa bad credentials. Tatizo ni nni hapo?
  2. Gomegwa G

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Mi nadhani TAMISEMI hawajamsahau huyu mwalimu wa book keeping na commerce. Labda wanataka naye aombe tu, atapangiwa kufundishA kiswahili
  3. Gomegwa G

    JamiiForums Tanzania Kasulu: Chawa wengi waonekana darasani

    Hayo ni mazingaombwe kweli. Chawa wanaweza wakawepo lkn siyo wa kusambaa darasa zima
  4. Gomegwa G

    JamiiForums Tanzania Tumeachana ila analaumu simtafuti kwenye simu

    Kweli mkuu. Nilishaachana na dem akaendelea kujipendekeza kwangu nami nikamsikiliza. Alikuja kunipiga pigo moja matata. Ntamchukia miaka yote
  5. Gomegwa G

    JamiiForums Tanzania Msaada pc yangu haidisplay lakini kwenye kitufe cha kuwashia imewaka

    Tatizo la window hilo
  6. Gomegwa G

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nahitaji soko la vitunguu swaum ( garlic) kwa Mwanza au Dar
  7. Gomegwa G

    JamiiForums Tanzania Ni bora ukaoa mfanyakazi wa ndani kuliko modern woman kwa sasa

    Nimeunga mkono hoja
  8. Gomegwa G

    JamiiForums Tanzania Jason Derulo

    Ha ha haaaaa[emoji16]. Hizo pisi kali zinapendaga pesa na ujingaujinga
  9. Gomegwa G

    JamiiForums Tanzania Jason Derulo

    Pande la mtu halaf saut ya kidemdem[emoji16]
  10. Gomegwa G

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

    Upo sahihi kabisa mkuu. Hao wanaikushangaa wanatoka kwenye hayo makabila uliyoyataja
  11. Gomegwa G

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ya kupikia inawaondoa mamalishe barabarani, Serikali ichukue hatua za haraka

    Sisi tunajilia mawese tu hayo maswala mengine hatuna habari nayo.
  12. Gomegwa G

    JamiiForums Tanzania List ya Wachezaji wenye Majivuno na Dharau

    Ha ha haaaaa![emoji16] Nasir hana adabu kabisa
Back
Top Bottom