Faizafoxy inamaana mpaka sasa hajapatikana mshindi wa kukutongoza?mbona pascal anajieleza sana na unaishia kumsimanga tu?Lengo lako si ulitaka apatikane mshindi? Kuwa Sirius bibie pascal kashafika bei na kajieleza vilivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello wana wa JF
Tunapenda kuwakaribisha wote wenye uhitaji wa vifungashio vya kaki kwa bei ya jumla popote pale ulipo Tanzania tunakutumia kwa uaminifu wa hali ya juu kabisa, tunapatikana Iringa Mjini, karibuni sana, na karibuni wote.
Mawasiliano: 0677063247
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawauliza Tanesco huu mradi wa Rea unaanza lini tena? Maana walisha kusanya hela zetu wakasepa Nazo
Mpaka Leo atujuagi kinachoendelea tangu mwezi wa saba mwakajana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasheria wetu wasomi kazi hii hapa,wananchi tumeibiwa mno,utakuta kwenye kitabu cha wageni imeandikwa KUFIKA unajaza talehe uliyofka,KUONDOKA pia unajaza talehe utakayoondoka, sasa ngoja ifike saa 4 we bwana weee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.