Recent content by Goldnessa

  1. Goldnessa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

    Mkono mtupu haulambwi jameni..Ikumbukwe kazi yetu ni kuzaa kwa uchungu..nyie ni kuvuja jasho tu kwa ajili yetu.
  2. Goldnessa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fatal Detat Crash Sparks Fresh Debate on "Manyoka" Culture

    Vijana wamevunjwa vunjwa si poa kwenye hii ajali, hii style ya manyoka itawamaliza sana vijana.
  3. Goldnessa

    JamiiForums Tanzania Muda ni Mwalimu mzuri sana: Siasa ni kama upepo, hubadilika wakati wowote

    Pamoja na kugawa rasilimali zetu lakini ngoma ni ngumu kwa genge la wahuni.Kweli mda utasema yote.
  4. Goldnessa

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Uyoga naona mwendo umeumaliza,kwa hekaya za Abunuwasi..Huu uzi ufungwe Detty Dezemba ndo imefika mwisho na hamna jipya zaidi ya porojo. Mengine tumwachie Mungu tu ashughulike na watesi wetu.
  5. Goldnessa

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchunguzi wa CNN kuhusu mauaji ya Tanzania umekamilika, kuachiwa rasmi duniani kote Novemba 21, 2025

    Ngoja tujionee hao raia wa kigeni walioandamana na kusababisha vurugu😒
  6. Goldnessa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Leo Magari yenye chata za Makonda na kombati ya kijeshi yameenea jijini Arusha kuelekea uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu

    Mbona uwanja wa soweto utakua mdogo?Wangefanyia stadium kabsa.
  7. Goldnessa

    JamiiForums Tanzania Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Pole sana kiongozi kwa hii misukosuko,Litapita tu.
  8. Goldnessa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa Bichwa Komwe na yule mwenzake

    Tumeezeka kweli,lakini kibunda kipo cha kutosha..Ila tujiulize kuna ambaye hatazeeka ndugu zangu?
  9. Goldnessa

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige

    Hizo kura wapige na familia zao inatosha,wakimaliza INEC wadownload Kura kutoka NIDA.
  10. Goldnessa

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe Ubunge atausikia redioni tu, CCM ni mafundi sana kumpelekea Baba Levo!

    Yaani chawa pro max ndo anakua Mbunge?Kweli wana Kigoma mmedharaulika kabisa.Aibu naona mimi.
  11. Goldnessa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

    Nilidhani puto lake lilipasukia tumboni,kumbe uongo tu ili atoke jela..Magufuli alikua mbele ya mda kuwanyoosha haya mafisadi.
  12. Goldnessa

    JamiiForums Tanzania Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

    Hatimaye tumepata mrejesho wa kesi,Wanawake wenzangu nawakumbusha tu mjue mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Tupunguze mihemko mkiolewa tulieni acheni marafiki wasio na maana.Jengeni nyumba zenu.Kama namuona huyu mtalaka wa kike alipopoa baada ya court rulling...
  13. Goldnessa

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Mwendo umeumaliza,Pumzika unapostahili Ndungai.Tuacheni kufuru kifo tumeumbiwa wanadam.Siku yako ikifika utaondoka tu.Hakuna atakayeishi milele.Punguzeni maneno makali kwa mwendazake.
  14. Goldnessa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia safarini kwa SGR kuelekea Dodoma kuhitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 kesho Juni 27, 2025

    Mama yetu amependeza sanaaaa..Kila la kheri.
  15. Goldnessa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge

    Kweli kujiajiri ni kazi ngumu,yaani miaka yote kumi ya uwaziri mkuu haujamtosha?Anataka kurudi tena bungeni kugonga meza bila cheo.
Back
Top Bottom