Recent content by goldenball

  1. G

    EPL ni ligi dhaifu

    usisumbuke sana ngoja aje Pep uone kama anaweza kuchukua kombe EPL kwa misimu mingapi sijui mfulizo akitoa vichapo hovyo hovyo kwa timu za EPL na kuongoza ligi kwa mapointi mengi mengi.
  2. G

    Laki tano tu unaweza badilisha historia

    sumbua kichwa japo kidogo acha kuonyesha upumbavu wako hapa, bank tellers wametumika hapo kama mfano flani hivi na sio kwamba kawadharau!!!!na kusema laki tano sio kwamba uchukue mshahara wa mwezi mmoja na kusepa bush kwenda kulima BUT ni kuonyesha kwamba unaweza kuwa unafanya kazi katika...
  3. G

    EPL ni ligi dhaifu

    nyie mashabiki maandazi ambao mnasema mnafuatilia sana la liga wakati hamzijui hata timu zake jaribuni kutofautisha kati ya vitu hivi: 1: ligi bora 2: timu bora ligi bora duniani ni EPL na timu bora zenye viwango vizuri nyingi zinatoka spain.Asernal/man u/man city/chelsea akikutana hata na...
  4. G

    Rais Magufuli, wananchi hawakuelewi

    ujinga ni kuamini kuwa ndani ya siku 100 baada ya uchaguzi kila kitu kitakuwa poa...ujinga ni kuamini kuwa ndani ya muda huo impact ya kusimamia mapato na matumizi itapunguza mfumuko wa bei na ujinga mbaya zaidi ni kuamini kuwa porojo zenu hizi zinaweza kumzuia jamaa aache kuwatumbua!!!!!tunajua...
  5. G

    MWANZA: SHULE IMEPATA SH; 647,00 KWA WANAFUNZI 1,690, SAWA NA SH 390 KWA KILA MWANAFUNZI

    watz kwa blah blah hamjambo......navyofahamu primary kulikuwa hakuna ada so kusema imetolewa kiasi flani kwa mwezi bila kutaja matumizi/mahitaji kabla au baada ya hii issue nzima kuanza naona ni kufurahisha genge.tuambie matumizi ya hiyo shule kwa mwezi ni sh ngapi?vitu gani&bei zake(ili...
  6. G

    Operesheni Zinduka 5 - Kwani Watanzania ni wao peke yao? Sote ni sote

    Hilo genge la wahaini lililopo nyuma ya Lowasa waambieni this time tumegoma hatuwapi nchi,lilifanikiwa kutulaghai 2005 na kumweka jk kwa namna ambayo wanafanya leo(kuwadanganya wapenda vya bure na wasiotumia akili kufikiri/wafuata mkumbo) lakini awamu hii tupo tutakaojitolea kwa hali na mali...
  7. G

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    watu wanaoufahamu uovu wa lowasa wamenyamaza wanasikilizia wakati muafaka.nyie mmekaa mnaaminishwa kuwa uovu wa jamaa ni issue ya richmond pekee.mmefanikiwa kuwahadaa wananchi/kununua vyombo vya habari na mwaka huu jamaa anasimamia shoo mwenyewe na nyie hadi mpate zile kofia/kanga/vitambaa na...
  8. G

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Just wait&see what will happen!!!!hatuwezi kukubali kumpa mtu madaraka ambaye amekwishakuiuza nchi hata kabla hajakabidhiwa madaraka....au we unadhani hao wanaomchangia mabilioni ya shilingi wanampenda sana kuliko mkewe anavympenda!!!!!au una akili za kijinga kuamini kwamba akina mbowe wataweza...
  9. G

    Tulioenda Dodoma ndiyo tulioshuhudia nguvu ya Edward Lowassa! Ana mikakati mizito!

    Anaweza shindana na nguvu ya JK 2005?Hatutaruhusu kurudia makosa ya 2005.
  10. G

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Ndio, ni kupoteza muda tu na resources, otherwise kama mmeingia naye mkataba wa kuwaongezea kura (ili kuongeza ruzuku), hapo mnaweza kwenda naye. Kifupi ni kuwa waliomkataa Lowassa kule Dodoma sio CCM wenyewe, ni wenye nchi. Na hiyo imefanyika kwa manufaa ya wananchi wa nchi hiii na sio...
  11. G

    UKAWA mnafanya kosa la kiprotokali

    kama Mungu mwenyewe alimwinua wakati Malaika anampelekea habari za ujauzito wa Yesu wewe ni nani hasa hata uhoji mimi kuliinua jina lake?wewe na Mungu nani zaidi.
  12. G

    UKAWA mnafanya kosa la kiprotokali

    mkuu nikushauri kitu kimoja tu,mrudie BWANA MUNGU WAKO!!!coz yeye hana ubaguzi,hajikwezi,hajitengi na wazambi,ni Mungu wa wakosaji kama mimi,ambao machoni pa wateule kama nyinyi tunaonekana si mali kitu.WEWE SI TAYARI UMESHAMALIZA SAFARI YAKO YA KUUTAFUTA UTUKUFU WA MUNGU?TUACHIENI SISI AMBAO...
  13. G

    UKAWA mnafanya kosa la kiprotokali

    inaonekana unamdharau sana Mama Maria,huko mbali sana hebu tuanzie na kwa mama yako mzazi,unamchuliaje labda aau ungependa watu wengine wamchukuliaje?kitu kingine cha kukukumbusha ni kuwa,kuna watu wangapi(viongozi na wasio viongozi) wamewahi kutembelewa na hao jamaa zako unaotaka kutuaminisha...
  14. G

    UKAWA mnafanya kosa la kiprotokali

    wapi wanaonyesha ndio mkuu wa kanisa katoliki Tanzania au wewe tu kwa mamlaka yako umempa hiko cheo.nifafanulie plz hivi katika ngazi za kiutumishi kwa kanisa katoliki askofu anakuwa juu/chini ya Kadinali?kwa mfano plisi sijui kuna konstebo-sijui sajenti-sijui meja au sajenti nani sijui...
  15. G

    UKAWA mnafanya kosa la kiprotokali

    wewe ndio ziro kabisa!!!!nani aliyekwambia kuwa wakatoliki huwa tunasomewa biblia kanisani,kwenye jumuia ndogo ndogo unafikiri huwa tunaenda kuuza sura?tatizo lenu mnajiaminisha kuwa nyie ndio mnajua zaidi ya wengine na hao wanaowafanya mazezeta ndio wanawasomea hiyo biblia nyie kazi yenu ni...
Back
Top Bottom