Recent content by golden girl

  1. G

    JamiiForums Tanzania 'CHADEMA Mwanza' watoa Tamko kuyapinga maamuzi ya Kamati Kuu dhidi ya kina Zitto

    huna lolote wewe mamluki. labda kama hayo matawi ya mwanza ilikuwa ni familia yako.yani mmejiokota vilaza wote mkaandika huo uchafu....pole sana kwa mwenye akili timamu anaelewa unachofanya ni kwasababu ya njaa tu.huo si uzalendo. njaa zitawaua jamani.....! tena ukome ku generalize wanachama...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tutambue idadi ya makamanda humu JF

    power.......!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    unaijua kazi ya kodi wewe?????? Obama mwenyewe analipa kodi .kodi ni kwa maendeleo ya nchi wewe
  4. G

    JamiiForums Tanzania Sinema hii imechezwa na wanasiasa maalufu, utaipenda tu

    Hiyo muvi haiuziki hata kwa mkopo........ Fani na maudhui ni vya kufikirika tu no uhalisia
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    Serikali ya ccm ikiongozwa na jk ni sawa na nondo mla watu kwa watanzania. Inakuwaje wananchi wa kawaida tunalipa kodi,wazee wanalipa kodi,mwalimu ktk mshahara wake analipa elfu 50( kwa anayeanza kazi) lakini raisi halipi kodi inamana yeye sio mtanzania??? Maswahiba wake ambao ni wafanya...
  6. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mna mpango gani na majimbo haya ya Kigoma?

    oneblood nimekukubali kwa facts. unajua kutetea hoja
  7. G

    JamiiForums Tanzania Esther Bulaya (MB) Achemka Katika Interview EATV Chanel 5...!

    wabongo kila kitu kusiliba,kwani hapo juu nani yuko perfect hajawahi kukosea jambo??????????
  8. G

    JamiiForums Tanzania English learning thread

    .................myself am not good at all.................... instead of iam myself.............. good trial my friends. am also interested in making some improvements
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

    umefanya vizuri mkuu
  10. G

    JamiiForums Tanzania Yeyote kati ya Wabunge hawa akirudi bungeni 2015 Nitaukana Uraia wa Tanzania ndani ya saa 24.

    hasaaaaaaaaa wa shinyanga mjini huyooooooo
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ninalaani kitendo cha baadhi ya nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kushinikiza kujitoa ICC

    Bendera fata upepooooooo
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ninalaani kitendo cha baadhi ya nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kushinikiza kujitoa ICC

    waswahili wanasema kunguru mwoga hukimbiza bawale, ICC ni kama msumeno,hakuna huyu namjua wala nini, viongozi wetu wanafanya madudu saaana kwa wananchi na ndo mana wanaogopa cha moto.mimi sioni logic ya kujitoa huko..................... hata hapa kwetu si mnaona kesi zinavyopindishwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Walisombwa na CCM wakatelekezwa, CHADEMA ikawasitiri

    ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  14. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wahamiaji haramu waliokamatwa Tegeta waachiwe mara moja

    dar es salaam
  15. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wahamiaji haramu waliokamatwa Tegeta waachiwe mara moja

    huyo mleta mada amekurupuka,walokamatwa kimakosa kama wahamiaji haramu kuna mbunge wa kigoma alifatilia na waliachwa huruuuuuu
Back
Top Bottom