Recent content by Gogoi

  1. G

    Manispaa ya Ilemela yaendelea kuwanyanyasa Bodaboda

    Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza imewanzisha utaratibu kwa bodaboda wote kuwa na leseni za biashara bila kuwa na kikao nao wala kujadili jambo hili, hali hiyo imesababisha usumbufu mkuwa sana kwa vijana wanaotoa huduma hii, hivi sasa wanakamatwa na kulazimishwa kulipia leseni ya biashara...
  2. G

    ACT-Tanzania: Challenges and Opportunities! (SEHEMU YA KWANZA)

    kwanza unge declare interest yako ili tujue una maslahi na chama au la maana naona unatoa defense sana
  3. G

    msaada wa bajeti please!

    pia mkuu umesahau maji na umeme au huko hayapo
  4. G

    msaada wa bajeti please!

    hapo kwenye sadaka nina wasiwasi napo mkuu ila kwingine uko poa,wakristo ni 10% zaka
  5. G

    Makosa kumi kabla wakati na baada ya kususia bunge maalum la katiba.......!!!!

    nimekuwa nikisema unatumika vibaya na leo umedhihirisha hilo.hivi ww unawakilisha kundi gani kama sio mteule wa rais?vyuo vikuu hawakutambui ulimaliza kitambo sijui utatudanganyaje
  6. G

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Ndugu wanajamvi hasa wanasheria naomba msaada wa kisheria hivi naweza kuwashtaki kwa kitendo chao cha kukatiza matangazo wakati hoja muhimu na zenye mashiko zikitolewa,Jana Duni Haji walikata na leo Tundu Lissu
  7. G

    Hivi ndivyo nimjuavyo Mwigulu Nchemba

    ifike wakati muache kutumika na politician.badala ya kujiuliza anatumia kiasi gain cha Mali ya summa kuharibu amani we umekazana kupamba
  8. G

    Karibu kwa mkutanao wa ACT Mwanza leo

    Abakoramo hivi huna dini nini maana unaongea uongo mwanzo mwisho huogopi moto wa jehanam
  9. G

    Karibu kwa mkutanao wa ACT Mwanza leo

    hivi ww utaachs lini uongo?watu wa kuhesabu hapa wewe unatudanganya
  10. G

    Karibu kwa mkutanao wa ACT Mwanza leo

    Ndugu wana JF habari, Jana katika pitapita zangu ndani ya jiji la Mwanza nilikutana na matangazo mengi kuwa leo ndio uzinduzi wa chama cha ACT ktk viwanja vya shule ya msingi kama sikosei ni Mirongo au Nyakabungo,matangazo hayo yalisema kuwa mgeni rasmi ni katibu mkuu wa ACT ndg Samson...
  11. G

    Mwenyekiti UVCCM amtaka DC Makunga kuwawajibisha haraka viongozi wa CHADEMA Hai

    DC wa Hai Yuko pale kulinda ulaji na si kutumikia wananchi.Tunamkumbusha tu kuwa haya yanaisha soon baada ya katiba mpya
  12. G

    Mbogo, simba, na sasa ACT

    hivi utaifakwanza ulihamia chama cha nyota?
  13. G

    Pigo kwa Mnyika: Kukosa fursa 'nono' kisa hana shahada

    kumbe ndio maana Chris lukosi kihiyo ana elimu ya kuchonga ndio ikampeleka UK?Leo nimepata jibu
  14. G

    Wizara ya Elimu Wasaidieni Wanafunzi Mzumbe Wanateseka Sana!!

    Kwanza unajiaibisha mwenyewe kusema hivyo wakati ni mjumbe wa CCM ktk serikali sikivu,mambo mengi mnajitakia wenyewe ndio maana tutaendelea kuwachukia na chama chenu mpaka kesho,mie nimekuja hapa naambiwa VC amemaliza muda wake lakini mpaka leo yupo,nimeanza masters ujinga ule ule hamna mabweni...
Back
Top Bottom