Karibu kwa mkutanao wa ACT Mwanza leo

Karibu kwa mkutanao wa ACT Mwanza leo

Kumbe hizo ndo agenda za kwenda kuongelea leo...???

Hiki chama survival rate yake ni miezi sita...

tunaenda kumwaga sera hatuna muda wa kuongelea chama kilichokufa cha chagadema. anaejishughulisha na chadema ni taahira tu kwa sababu chadema haipo tena imebaki historia tu
 
Kwa upande wangu naona wanaotukana matusi katika jamvi hili inaonesha ni kwa kiasi gani wamefikia ukomo wa kufikiri na busara zao, cha msingi wanaochagua jina la chama wanahangaika na kutoa matusi ila tunaochagua sera na kuangalia kiongozi gani chama kinamleta hatuwezi kutukana hovyo ila tunabishana kwa hoja na sio matusi.
Napita
 
hakuna anaye tukana hapa, tatizo ni hawa ACTWASALITI wanao taka kutuletea ukabila na uislam katika siasa.
 
tatizo chadema wakisikia ACT tu wanaanza matusi sijui wana matatizo gani
 
Ndugu wana JF habari,

Jana katika pitapita zangu ndani ya jiji la Mwanza nilikutana na matangazo mengi kuwa leo ndio uzinduzi wa chama cha ACT ktk viwanja vya shule ya msingi kama sikosei ni Mirongo au Nyakabungo,matangazo hayo yalisema kuwa mgeni rasmi ni katibu mkuu wa ACT ndg Samson Mwigamba.

Leo ndio uzinduzi na leo ni Jumamosi kwa sisi wasabato akiwemo mwigamba tunaita siku takatifu ya sabato,niwakumbushe tu hapo nyumba wakati Mwigamba ameitwa na kamati kuu ya Chadema ili kujitetea hakutokea kabisa,kesho yake aliita press conference na kusema kuwa hakutokea kwasababu dini yake yaani sabato haimruhusu kufanya jambo lolote zaidi ya kuwa kanisani akiabudu.

Leo ni sabato na itaisha pale tu jua linazama lakini kutakuwa na uzinduzi wa chama chake na kwa maelezo ya matangazo yeye ndio mgeni rasmi,najiuliza leo anafanya mahubiri kulingana na dini yake au hiyo sabato yake ilikuwa kwa kamati kuu tu kusomewa usaliti wake?

Nasubiri kuona kama kweli Mwigamba huyu huyu aliyekacha kujitetea kwa kigezo cha sabato kwenye kamati kuu na leo atakuwa mgeni rasmi kuzindua ACT sijui leo atakuwa havunji sabato au itakuwaje.Karibuni tusubiri kuona unafiki wa watu humu ndani mie nimejiuliza tu kwa hili la Mwigamba
 
msukule wa lema at work. hivi unafaidika nani kila siku kuwatetea watu na saccos yao? au na wewe upo kwenye mgao?

ONYO - CHADEMA AIHUJUMIKI ! Kama UMECHUKUA HELA YA WATU RUDISHA ! VINGINEVYO UTAADHIRIKA VIBAYA SANA !
 
Ni chama kilichoundwa na wanafiki watupu,sijui kitakuwaje HABANA PENDA HIYO CHAMA KABISA NI CHAMA YA HOVYO KABISA! :bange:
 
hakuna anaye tukana hapa, tatizo ni hawa ACTWASALITI wanao taka kutuletea ukabila na uislam katika siasa.

isiifananishe ACT na chadema iliyoleta ukristo na uchaga . chadema ni wabaguzi sana.ACT ni chama cha kitaifa
 
Back
Top Bottom