Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
shetani wewe na katibu mkuu wako,,,
Wewe ni ibilisi Kabisa..
shetani wewe na katibu mkuu wako,,,
hujielewi we msukule
shetani wewe na katibu mkuu wako,,,
Haya bana. Mlianza wenyewe kusema kuwa chadema ni ya wakatoliki. Naona Waanglicana nao wamejitutumua. ACT = Anglican Church of Tanzania. Hawa wakiamua kufuata sera za malkia tumekwisha. Uliberali ndo wenyewe hao.
Nimeipenda hii..
ACT-Allience for Coward and Traitors..
Hahahaaaaa mnalo mwaka huu...
Haya bana. Mlianza wenyewe kusema kuwa chadema ni ya wakatoliki. Naona Waanglicana nao wamejitutumua. ACT = Anglican Church of Tanzania. Hawa wakiamua kufuata sera za malkia tumekwisha. Uliberali ndo wenyewe hao.
hiyo kauli mbiu bado inaundwa ama ndio ishakamilika?
Ustaadh Makalio upo?Taifa kwanza, chama baadae...
Hakuna la zaidi
hahahahhaaaa umewamaliza kabisaaaaaaaaaaa tena naskia kiongozi wao mmoja ni kiongozi wa chama kingine!!!!
MANI njoo nitajie jina layule mshkaji mwenye kuongoza vyama viwili
Ok Ok Lucas Kadawi Limbu ni mwenyekiti wa ADC na sasa ni mwenyekiti wa ACT!!!!! kwa wakati mmoja. Kazi ipo kweli kweli
Walipoona mbogo ni mkali sana na mtata sana wakaamua kujiita Mbogo, walipoona simba amekuwa mfalme wa nyikani na mbabe kwa akina mbogo, wakaamua kujiita Simba, haya sasa ACT imekuja kama tufani iliyopandwa na upepo wa kihafidhina, je, hawa watu watajiita ACT?
Pamoja na hayo, hivi kwa umakini, umahiri na uhodari wa Dr. Wilbroad Slaa laiti angepata fursa aliyokuwa kaiomba CCM angekuwa waziri mzigo sasa? HAPANA, asingekuwa mzigo, iweje sasa hawa wengine watabiriwe kuwa hivyo ikiwa ndio kwanza safari imeanza? Muda ndio kila kitu, na mwenye kushua chombo lazima aseme na pepo kwanza.
TAIFA KWANZA, CHAMA BAADAE.
Njano5.
0784845394.