Wakuu hodi humu,
Naomba kufahamu ni nini hasa kinasababisha wanawake (baadhi) kutokwa na utando mwingi sana wakati wa tendo la ndoa?
Mimi ni mvulana na kitu hiki huwa kinaniboa sana tunapokuwa kitandani kwani huwa unatoka mwingi sana na huwa na kama maziwa ya mtindi yaliyoganda.
Wenye elimu...
Mimi kijana umri miaka 22 natafuta kazi yoyote ile ambayo itaniingizia kipato. Napatikana Mwanza. Kwa yeyote aliye na ramani ya kazi tusaidiane
Ni hayo tu, Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.