Recent content by GODSON KITOMARY

  1. G

    Walioingilia mfumo wa matokeo chuoni UDSM na IFM kupandishwa kizimbani

    Walioingilia mfumo wa matokeo chuoni UDSM na IFM kupandishwa kizimbani. Kazi kwenu mnaohusika.
  2. G

    Usomaji wa Maandiko ya kidini (Biblia)

    Okay,Mkuu Biblia ni pana na kuna mitazamo miwili ya kusoma, 1. Mtazamo wa kawaida ambao ndiyo huo unaoitumia na wa pili 2. Kutazama unabii na utimilifu wake haswa kukijua kitabu cha Ufunuo. Nicheki +255762425312 na tutajifunza bure kabisa kama upo Dar-es-Salaam na kama upo mkoani itakuwa kwa...
  3. G

    SoC04 Tanzania tuitakayo na safari ya kuifikia nchi ya ahadi

    Tanzania ni nchi inayopatikana ndani ya bara la Africa na ipo kwenye ukanda wa Afrika ya mashariki pia kusini mwa jangwa la sahara,ni nchi inayoundwa na nchi mbili ambazo ziliamua kuungana mnamo tarehe 26/04/1964. Muungano huu ulifanyika kwa Jamhuri ya watu wa Tanganyika na Jamhuri ya watu wa...
  4. G

    SoC03 Nguvu ya Utawala Bora na Uwajibikaji

    Utawala bora ni mfumo ambao unasimamia sheria,taratibu na kanuni ambazo husimamiwa na serikali au taasisi yoyote ili kuhakikisha kuwa hakuna ukiukwaji wa haki za binadamu,uvunjifu wa sheria pamoja na maadili ya kazi ambayo yameweka ili kumwongoza kila mmoja katika utendaji wake wa kazi ili...
  5. G

    Kupitia andiko hili hebu tuelimishane na kukumbushana misemo, nahau na maneno mbali mbali

    Usimtupie MAWE kila mbwa unayekutana nae barabarani"
  6. G

    SoC02 Elimu iwe ufunguo wa kweli wa maisha

    EDUCATION IS KEY OF LIFE ______________ Godson Kitomary Tunapozungumzia swala la "ELIMU" Kuwa "UFUNGUO" Wa maisha tunazungumza kijana kuweza kujitegemea mwenyewe na kusimama katika harakati za kupata "MAFANIKIO" Tunaweza kukaa na kulaumu "SERIKALI" Kuwa "ELIMU" Wanayotupatia haiendani na...
  7. G

    Kama kisu kinavyonolewa ili kiwe kikali, lazima nasi tuunoe Ubongo kwa vitabu

    Godson kitomary Pichani ni kitabu cha "COLENEL GADAFFI" Kinachoitwa "THE GREEN BOOK" Na ndani yake kina mambo matatu kama ifuatavyo: 1. Jinsi ya kutatua matatizo yatokanayo na demokrasia 2. Kutatua matatizo ya kiuchumi 3. Misingi ya kijamaa na nadharia ya mataifa yanayoendelea. Ndicho kitabu...
  8. G

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    "si kila mpinzani atakuwa mpinzani milele" Martin Luther King Jr II
  9. G

    Kwanini vijana wengi hawapendi kusoma vitabu?

    Hongera na nimejfnza jambo toka kwako,
  10. G

    Kwanini vijana wengi hawapendi kusoma vitabu?

    Tufanye nini ili kuhakikisha haswa vijana na watoto wapende kusoma vitabu mbalimbali ili kupanua uwezo wao wa kufikiri
  11. G

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    "Madhara ya watu kutotaka kujihusisha na siasa madhara yake ni kuamuliwa mambo na watu ambao wamewazidi akili" alisema aristotle hivyo yawezakuwa kuna viongozi umewazidi "AKILI" Na "Maarifa" lakini now wanafanya maamuzi badala yako kwa kuwa umekataa kujihusisha na siasa,wakati kwa asili binadamu...
  12. G

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hivi kwa mfano ukipewa nafasi ya kuzungumza na mama samia leo utamshauri nini kuhusu suala la kuzuia na kupambana na rushwa japokuwa sheria zipo na taasisi inayoshughulikia maswala hayo ipo.utamshauri afanye nin?
Back
Top Bottom