Kwanini vijana wengi hawapendi kusoma vitabu?

Kwanini vijana wengi hawapendi kusoma vitabu?

Joined
Jun 23, 2020
Posts
12
Reaction score
23
Tufanye nini ili kuhakikisha haswa vijana na watoto wapende kusoma vitabu mbalimbali ili kupanua uwezo wao wa kufikiri
 
Tufanye nini ili kuhakikisha haswa vijana na watoto wapende kusoma vitabu mbalimbali ili kupanua uwezo wao wa kufikiri
Kusoma vitabu ni habit, sio kitu ambacho mtu anaamua tu kwamba sasa ngoja nisome kitabu, its something that one has developed in a lifetime

Kwa mazingira yetu ya Kitanzania, mtoto mpaka asome kitabu labda ni fimbo au ana mtihani, lakini wenzetu wao wanawajengea watoto tangu wadogo, mtoto anazaliwa anakuta nyumbani kuna mini library na anaona wazazi wanasoma vitabu, anapokwenda kulala mzazi anamsomea bed time stories, kwa mtindo huu hii habit inakua ndani ayake na anaiendeleza mpaka anapokua mtu mzima

Kwa nyakati hizi kuna umuhimu wa kuwajengea watoto wetu tabia ya kupenda kusoma vitabu
 
Back
Top Bottom