Recent content by GodsGrace

  1. GodsGrace

    Mtoto kufundishwa uchawi

    A Hahaha akitoka hapo atahamia kwema mabeseni,maana ulishaanza kuona mtt labda watu wanapaa nae usiku
  2. GodsGrace

    Mtoto kufundishwa uchawi

    Mtoto bado anachezea ungo mkuu??
  3. GodsGrace

    Muonekano wangu unanitesa mahusiano yangu hayadumu

    mtu akishaanza kujitetea kunakuwa na uwalakinii alooh
  4. GodsGrace

    Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini

    😂 Vestepen anawabeba sana ila kwa SIR watasubiri sana
  5. GodsGrace

    Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini

    Kiboko yao Monako uwanja mgumu sana wanatokaga hoii
  6. GodsGrace

    Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini

    Kuna yule jamaa anapigaga jekii pale mbele naskia ndio mtuu anafanya kazi rahisi kuliko wote duniani.
  7. GodsGrace

    Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Mkuu dondosha michongo usichoke utasaidia wengi
  8. GodsGrace

    Biashara zinazolipa mipakani Tanzania na Zambia

    Mahindi kutoka Zambia tumepeleka sana manzese mzee ni ukweli
  9. GodsGrace

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mwenye spark 4 kwa 130000 dar anicheki
  10. GodsGrace

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Yaah kaka kufungwa kunauma sema labda inaweza kumshtua kocha na uongozi. Hope matokeo mabovu yalete sababu ya sajili mzuri
  11. GodsGrace

    Hadi Juni 2021 (mwaka huu) DAR itakuwa Ulaya ndogo

    Alafu ndo panakuwa ulaya, tunadanganyikaa ulaya mfanano wake nchiii ipambane miaka 50 mingine at least tunaweza anza fananisha na vijinchi vidogo vya uko unapopasema
Back
Top Bottom