Habari za leo wana jamii
Nawasilisha ombi langu la kutafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka la vitenge, jumla na rejareja, Kariakoo mtaa wa kongo na agrey. Mshahara maelewano.
Mawasiliano
0624078385
Anahitajika kijana wa kazi awe wa kiume au wa kike wa kuuza duka la nguo kariakoo mtaa wa Kongo na Aggrey.
Sifa awe na elimu kuanzia 4m4
Mdhamini awe nae
Kwa anaehitaji nicheki inbox
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.