UDSM ni kweli chuo kikubwa na kikongwe hapa tanzania.. ila kama kitakuwa kinatoa wanafunzi vilazaaa kama hawa basi kitashuka hadhi na kupitwa na vyuo vingine vidogo.. kiasi watu watakuwa hawaindi tena pale.. wewe waache waendelee na siasa zao
naombeni ushauri.. nimesoma diploma ya IT UCC and ninataka kuuply nacte, bt wanataka cheti cha certifcate ambacho bado sikukichukua mpaka sasa.. and hata kesho neinde niombe still nina process nyingi za kufanya na deadline ni ijumaa.. ila transcript na cheti cha diploma naweza pewa wiki hii...
haya mambo huwa yanafanyika AFRICA mbona mabara mengine hawatishii hvyo???
sasa pesa zangu na ni kwamatumizi yangu unataka nigawie serikali alafu nizitafutie wapi??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.