NISAIDIENI KUNISHAURI KUHUSU HILI LILILONITOKEA TCU

NISAIDIENI KUNISHAURI KUHUSU HILI LILILONITOKEA TCU

naombeni ushauri.. nimesoma diploma ya IT UCC and ninataka kuuply nacte, bt wanataka cheti cha certifcate ambacho bado sikukichukua mpaka sasa.. and hata kesho neinde niombe still nina process nyingi za kufanya na deadline ni ijumaa.. ila transcript na cheti cha diploma naweza pewa wiki hii.. je kuna altenative yoyote ambayo naweza fanya ili kuuply?
acha uboya wa kutafuta alternative ......wee unaona kuna shortcut ipi apo....au na we we ni mhaya???
 
acha uboya wa kutafuta alternative ......wee unaona kuna shortcut ipi apo....au na we we ni mhaya???
altenative means, njia nyingine ya kuuply.. bila ya certificate kabla ya ijumaa ndo mwisho.. sasa uboya wangu nini hapo??
 
Naomba ushauri, mdogo wangu aliomba kairuki ma ana vigezo vyote. Ana point 6 wakati wao minimum ni 4.5. Ajabu hakuchaguliwa na bado Luna nafasi
 
Back
Top Bottom