Mzee mtei hafai hata kidogo yeye udini na ukabila ndo aliouweka mbele kwa mtazamo huo ni uchafu na ufinyu wa mawazo,kwanza hana ekima hata kidogo na wala asituletee mila na desturi za kwao
Mtoa mada naomba niungane na wewe asilimia 100,watanzania baadhi yao wana akili fupi wenyewe all time they are think negative ,kwa mtindo huu mnajifanya mnafahamu kumbe bogas.hakuna kiongonzi anayesifiwa tanzania akiwa bado kiongozi(madarakani) ata kikwete atakuja kuwa mzuri pale atakapoondokoa...
Naamini hakuna chama kama ccm kwa maoni yangu chadema wangemsimamisho zitto agombee kiti cha urasi ata mimi nitamuunga mkono na anaweza akaibadilisha nchi.
Bwana mdogo acha kupelekwapelekwa Advance school ni ngazi ya secondary na o level pia ni ngazi ya sec acha wehu !! Kapige dip kwanza pale unasomea kazi kwa mifano wapo waliopiga dip na leo wa masters wanakula maisha
Mimi nina mdogo wangu kamaliza form 4 miaka mitatu iliyopita phy-c, chem-c, biology-c, maths-d, geo-d, kisw-d, civics-d na eng-f ana division three na anataka kuomba machua age entry ili asome kozi ya civil engeering arusha tech. Tafadhali wana jf naomba ushauli wenu
Mwanza ni noma ni mji ambao uko planned kwa majengo,kuna ziwa kubwa linalotoa samaki wa kila aina nalo ni victoria,mji ambao umepakana na nchi zaidi 4 kuna migodi kama vile buzwagi,geita gold mine kuna barabara inayounganisha nchi kama kenya,uganda somalia,rwanda,burundi,pamoja na congo,vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.