Jamani nisaidieni mnaoijua Kalangalala sec,Geita! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nisaidieni mnaoijua Kalangalala sec,Geita!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Uncle Kaso, Mar 31, 2012.

 1. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Naombeni mnisaidie mnaoijua shule hii ya Kalangalala,Geita!
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kwenye kumbukumbu zangu,inaonyesha hii shule iko Kongo-kinshasa na sio tanzania.over
   
 3. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Acha mambo ya ajabu kama hukutaka kunisaidia si ungekaa kushoto? Mbona mnakosa hata moyo wa huruma jamani,mm nimeuliza kwa heshima na taadhma lakn ww sijui kw nn unakosa adabu kiac hicho,hv ww wa wapi? Kama ni mtu mzima nisamehe ila kiukwl huna adabu!
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  sasa kosa ni kukuambia hyo shule iko congo au?ndo ukweli wangu huo lakn mkuu,wat i know hyo shule iko congo na co tanzania.over
   
 5. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  poa kaka,najua hutaki tu kunisaidia,okey fine,kila la kheri
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Usaidiwe nini? Nafasi ya kusoma au nafasi ya kufundisha? Eleweka tafadhali
   
 7. G

  Godfrey waryoba Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii shule ipo geita ni shule mpya kwa michepuo ya sayansi ila inaupungufu mkubwa wa walimu kwaiyo kazi ni kwako kijana
   
 8. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  ina hostel? Je kama ni ya sayansi,kwa nini nimechaguliwa HGL?
   
 9. G

  Godfrey waryoba Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio ina michepuo ya arts pia lakini ni shule mpya kwa mchepuo wa sayansi.hostel zipo
   
 10. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  unamaanisha ni kongwe kwa upande wa arts? Vp kuhusu huduma ndogondogo,umeme,maji:vinapatikana? Je ipo karbu na town? Wanatumia sare gani?
   
Loading...