Matokeo ya lulu kidato cha nne haya hapa

Always am sociologist as well as psychologist and too philosophical. what i know is "KIDONDA KILICHOKO MGUUNI KINACHOONEKANA NA KUNG'ONGWA NA INZI HUWA KINANYOOSHEWA KIDOLE SANA NA WATU ETI ANA DONDA NDUGU HUYU LAKINI TUKASAHAU KUWA MWENYE ULCERS KWENYE UTUMBO NAYE ANA VIDONDA NA PENGINE VYENYE KUUMA KULIKO MWENYE DONDA NDUGU"

IN every action there is positive and negative side and within the positive there is the positive of the positivity and the negative of the positivity like wise within the negative side there is the positive of the negativity and the negative of the negativity

by understanding it basi wote walio na negative aspect towards LULU wko sahihi na pia walioko n positive aspect pia wako sahihi tofauti tu ni ile degree of the incident angle.

S3548 MIDWAY SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 10 FLD = 8Kwa matokeo hayo amejitahidi sanaaaa......
 
Tena nina wasiwasi akawa anamiaka zaidi ya 18
Mfano labda kaanza shule akiwa na miaka
7+7=14+4=18+2=20
Or
6+7+4+2=19

Or
5+7+4+2=18

Or
4+7+4+2=17

Maono yangu tu,nimejumlisha miaka miwili nikimaanisha2010/4- 2011/4 na 2011/4-2012/4 hiyo ni miaka miwili

basi katoto kagenius kama kalianza shule miaka 4
 
S3548 MIDWAY SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 10 FLD = 8Kwa matokeo hayo amejitahidi sanaaaa......

Actually ni mmoja kati ya hao kumi waliofanya vizuri kwenye shule yao. Tumpe benefit of doubt, maybe ange-swap places na Mwanaasha leo hii tungekuwa tunasema mengine.
 
Matokeo ya lulu na ya mwanaasha hamna tofauti!

Tusiwe kama wageni wa shule jamani; kufeli mtihani wa Form 4 sio ndo kufeli Maisha au kwamba ndo mwisho wa Elimu hapo, wangapi hata baada ya kuanguka wakanyanyuka na kujipukuta hata mwisho wa siku mambo yao yakanyooka pengine hata kumzidi yule alopata Div 1 au 2 kwenye mtihani huo wa Form 4???
 
From my point of view hata kwa xul,she was not concentrating coz you can just see her moves,but at the same time she saves as a lesson to other stup..d girls who are eager to jump the stages of their life.....hivi in actual sense mtoto kama lulu at the age of 17/18, kweli was she a legible candidate to register in love relationship with the deceased[ stv kanumba] to me not;coz the a.d (age difference] is quite big taking intoo account she was still a minor;of course she can be held criminally liable pursuant to the penal laws of the country but the same laws refrain any sexual relationship with a female whose age is below 18 yrs, and in such cases different precedents are to the effect that ''even if the girl has consented her consent is immaterial'']in conclussion: Without any prejudice to the culprit (lulu) and the deceased.i observe the former as stupid as zero brain individual and the latter as the raper.( no offence)ammmmmmmmmmeeeen
 
Tusiwe kama wageni wa shule jamani; kufeli mtihani wa Form 4 sio ndo kufeli Maisha au kwamba ndo mwisho wa Elimu hapo, wangapi hata baada ya kuanguka wakanyanyuka na kujipukuta hata mwisho wa siku mambo yao yakanyooka pengine hata kumzidi yule alopata Div 1 au 2 kwenye mtihani huo wa Form 4???
Uko sawa mzee kwa vile unawakilisha zaidi ya +65% ya watz wenye mawazo kama ya kwako ambao kwao maendeleo/mafanikio ni kunawili kwa kupaka mikorogo, kuendesha magari yenye ac, kuwa na simu zenye kamera, kuishi Sinza/Kijitonyama, kusikika redioni na kuandikwa na magazeti (ya Shigongo), kutokosekana kwenye fiesta nk.

Tofauti na wengine ni kutopenda kuumiza kichwa kwa kufikiri ni kwa nini kijana akae miaka karibia saba + nne kutafuta elimu alafu aambulie ‘D’ moja badala ya ‘A’ saba. Huoni kuwa pana tatizo hapa!? Na unadhani kama Watz wote watafanikiwa kwa msingi huu unaousema kutakuwa na nchi hapa kweli. Nakukumbusha tu, Mwalimu Nyerere pamoja na wengine walipo declare UJINGA kama adui yetu mkuu tulikuwa na utajiri mkubwa sana wa mito, mabonde yenye rutuba, madini, mbuga za wanyama nk.
Mkuu, you have to re-think kwa maana haya mawazo kama yako ndiyo yametufikisha hapa na si ajabu ndio maana Wakenya wanatudharau!
 
Kimemeta aliliambia Mwananchi jana kuwa mwanawe huyo alizaliwa Aprili 17 mwaka 1995 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).

“Nataka nikuambie (mwandishi) mwanangu atatimiza umri wa miaka 17 ifikapo Aprili 17 mwaka huu. Sasa ana umri wa miaka 16 na ni mtoto. Tunavyosikia Kanumba alikuwa mpenzi wake inatuuma sana,” alisema.

source gazeti mwananchi

Huyo baba atoe unafiki Lulu kaanza kuigiza mi cjaanza shule mpaka leo naingia five 5, kile ni kimama kinahifadhi wazee wetu, labda kiwe kimedumaa
 
Alikuwa anaenda darasani saa ngapi na analala saa ngapi? Kama kweli ana miaka 17 basi hakupaswa kunywa pombe..........hapa ana AMARULA

l4.jpg
 
Huyo baba atoe unafiki Lulu kaanza kuigiza mi cjaanza shule mpaka leo naingia five 5, kile ni kimama kinahifadhi wazee wetu, labda kiwe kimedumaa

Posted by GLOBAL on April 16, 2011 at 9:12am

Na Shakoor Jongo

Binti anayefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu' juzikati alijinadi kuwa tayari ameshakuwa mtu mzima baada ya kutimiza miaka 18.

Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa msanii huyo aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini, Lulu ambaye amekuwa akiitwa ‘Sidanganyiki' kutokana umri mdogo aliokuwa nao, alitimiza miaka hiyo wiki iliyopita.

"Hakuna kitu kilichokuwa kikimkera Lulu kama kuitwa mtoto. Ameonekana kufurahi sasa baada ya kutimiza miaka 18, tembelea kwenye Facebook yake utabaini ninachokuambia," alisema ‘sosi' huyo.

Mwandishi wetu alifanya jitihada za kuingia kwenye Facebook ya Lulu na kukuta ujumbe uliosomeka; ‘HEY FRIENDS, MY 18 ONLY MWAAH' mazingira yaliyoashiria kwamba, ni kweli ametimiza miaka hiyo.
 
Alikuwa anaenda darasani saa ngapi na analala saa ngapi? Kama kweli ana miaka 17 basi hakupaswa kunywa pombe..........hapa ana AMARULA

l4.jpg
kwastaili hii lazima afeli. lakini nani mwenye kosa hapa, huyu bado alitakiwa awe chini ya uangalizi wa wazazi au waalim sasa usiku sijui anatokaje kwenda huko anakoenda. kweli kimaadili tumetofautiana sana
 
Tena nina wasiwasi akawa anamiaka zaidi ya 18
Mfano labda kaanza shule akiwa na miaka
7+7=14+4=18+2=20
Or
6+7+4+2=19

Or
5+7+4+2=18

Or
4+7+4+2=17

Maono yangu tu,nimejumlisha miaka miwili nikimaanisha2010/4- 2011/4 na 2011/4-2012/4 hiyo ni miaka miwili

Nimependa analysis yako
 
Akihojiwaga kny tv anakuwa kama mtu asiyejua kiswahili vizuri vile anakuwa na am am am nyiiiiiingi kumbe mhh!!!!!!!!!!!
 
Tena nina wasiwasi akawa anamiaka zaidi ya 18
Mfano labda kaanza shule akiwa na miaka
7+7=14+4=18+2=20
Or
6+7+4+2=19

Or
5+7+4+2=18

Or
4+7+4+2=17

Maono yangu tu,nimejumlisha miaka miwili nikimaanisha2010/4- 2011/4 na 2011/4-2012/4 hiyo ni miaka miwili

Hapo umemzeesha sana. Mara nyingi ili kupata umri anaomaliza nao mtu primary unatakiwa ujumlishe 6 sio 7 kama ulivyofanya
 
Alikuwa anaenda darasani saa ngapi na analala saa ngapi? Kama kweli ana miaka 17 basi hakupaswa kunywa pombe..........hapa ana AMARULA

l4.jpg

Jicho nyanya, mweeeeeeee! Hapo kanumba likuwa anajinumbua haswaaaaaa!
 
Back
Top Bottom