Kubadilisha kutoka tech.college kwenda a-level | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubadilisha kutoka tech.college kwenda a-level

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by The_Emperor, Mar 26, 2012.

 1. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nilimaliza kidato cha nne mwaka 2011 na matokeo yametoka nimefaulu kwa div 2(combi zote zimebalance) ila nilijaza first choice Tech.College(D.I.T).Kuna wa2 wamekuwa wakinishauri kama nikichaguliwa huko niende kubadilisha na wamenipa sababu.Je,ninaweza kubadili kama nikichaguliwa tech.coll. niende A-level na nianzie wapi?
   
 2. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Bora uende TECH kwan kwa hao watakao maliza form 6 2takuwa nao sawa mie mwenyewe naenda MIST civil engineering,lakn nimepata DIV-1-16.
   
 3. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wanasema eti baadae itanicost coz elimu ya form1 mpk 6 itakuwa ya lazima!!
   
 4. A

  Aaron JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,122
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  Usiogope hayo ni maneno 2 ya watu... kazi kukaza msuli afanye vizur kweny ordinary diploma badae unajiunga na Bachelar hakuna cost yoyot!! hata mimi nimemaliza mwaka jana na nilichagua dit fist choice..
   
 5. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Anayekushauri usiende ana mawenge kapige shule ya ukweli kijana hata sisi tumepiga hizohizo pia.
   
 6. G

  Godfrey waryoba Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwana mdogo acha kupelekwapelekwa Advance school ni ngazi ya secondary na o level pia ni ngazi ya sec acha wehu !! Kapige dip kwanza pale unasomea kazi kwa mifano wapo waliopiga dip na leo wa masters wanakula maisha
   
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  dogo umechelewa sana ulitakiwa ufanye hiyo kitu wiki ile ya kwanza baada ya matokeo kutoka (before selection), sisi kipindi chetu miaka ile tulikuwa tunajaza form za kuchagua shule kwa pencil (sijui miaka hii mnajaza vipi) ili ikitokea umebadili mawazo ya kubadili combination au shule unakwenda tu pale baraza (if not mistaken) unafuta ile form kwa ufutio mimi nilifanya hii kitu. Sasa hivi naimani selection imeshafanyika labda uende private school a-level
   
 8. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nimeambiwa inawezekana hata baada ya posts kutoka!
   
 9. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Vp ukiunganisha na bachelor unapewa mkopo?
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ukiwa hapo DIT unaweza kuendelea na masomo yako ya high school na ukafanya mtihani vilevile wa kuingia chuo kikuu.
   
 11. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkubwa kivip?
   
 12. brobiz

  brobiz JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Bora ww mkuu mwenzio nimechaguliwa kigonsere PCM ambayo cjui hata iko mkoa gan pls wadau kuna uwezekano wwt wa kubadilishiwa shule?
   
 13. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Pole mkuu,ila yote maisha,weka juhudi utatoka tu.
   
 14. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Dogo wewe binafsi unataka nini? Kama;

  i) unataka kwenda collage basi nenda DIT, MIST au chuo cha maji na ukienda huko kakaze ili upate daraja B+ (60-69) or above nikimaanisha upper second and above, hii itakuwezesha kusoma chuo kikuu chochote unachokiitaji ili hali masomo yako yaendane na hiyo taaluma. Pia itakusaidia kwani utakuwa unakutana na watu wanaochukua shahada na watakushauri mambo mbalimbali, tofauti na advance mwendo wa uniform na manyanyaso kibao kutoka kwa walimu, ila chuo mahusiano na walimu ni mazuri na ukitumia hayo mahusiano vizuri basi mambo ni mteremko.

  Ila mwaka wa masomo 2011/2012 yalitokea mabadiliko juu ya mikopo kwa watu wa diploma sema mwaka huu litashughulikiwa according to wizara, sababu kubwa ya kuwanyima mkopo ni kwamba inasemekana wengi wao wanaochukua diplo ni workers so wanaweza kujisomesha.

  ii) advance haina tofauti kubwa na o-level sema huku NECTA wanabana kimtindo. Ila ukiwa makini chuo unaingia na unafaidi boom(mkopo) kama kawaida ni jitihada tu.

  Ushauri wangu kama umepangwa chuo cha tech bac kapige shule dogo ucpende kusikiliza mawazo ya watu mlioko level moja ukiona yanakupotosha. Wewe nenda kwa wanachuo wenyewe wakakushauri na hao wanachuo ndio sisi. HAKUNA SHIDA DOGO UKIPATA DIPLO UNAAPPLY BACHELOR UNAPATA KAMA TU UNAVIGEZO VYOTE KAMA NILIVYOELEZA HAPO JUU.
   
 15. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Thanx mkuu,much luv 2 ya!
   
 16. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  DIT is better ila chuo kinafungua september utaweza kusubiri?
   
 17. T

  TAUNO Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 5
  dogo umenikumbusha kipindi nimemaliza,mie pia nilipata 2 na kombi zote zilikubali,ila nikachaguliwa kwenda DIT mimi nikawa nakataa kabisa nikafanya na mipango ya kubadilisha bila kusema nyumbani kwani nyumbani wazazi walifurahi sana mimi kupata collage mwishoni kikaitwa kikao cha ndugu na jamaa wote ili wanishauri baada ya kujua kua mie sitaki kwenda DIT wakanipiga mkwara sana na kuniambia kua nikienda 6 hawatanilipia ada wala hela hawatanitumia

  ikabidi niende DIT.kitu nilichofanya pale ilikua ni kupiga misuri,kipindi namaliza nikapata ajira moja kwa moja,nikawa napata hela ya kutosha kimaisha ya ujana ilikua kama laki 7 kwa mwezi,wazazi wakaanza kuniambia tulikwambia sasa bila cc kukukata usiende 6 ungekua unapata wapi hizo hela,wakati huo marafiki zangu walioenda 6 ndo walikua waingia chuo mimi niko kazini wakawa wananitamani sana mpaka wakawa wanajuta.

  matokeo yalitoka mazuri nikaomba vyuo kama 3 bongo na 2 nje vyote nikapata nikaona niende nje,uko walipoona kuna vitu vingi ninavijua wakanirusha mwaka nikamaliza sawa na wale watu wa 6 walioingia chuo ngoma ikawa droo

  niliporudi kuanza kutafuta kazi mimi nikawa napewa kipaumbele kuliko wale wa 6 kwani nilikua na experience ya kazi,nikaanza kuchagua wapi watanilipa vizuri.

  sasa kwa ushauri wangu wewe nenda DIT kama utachaguliwa uko ila kafanye shule pale sio kwenda kufukuzia watoto wa shule na madem wa CBE.
   
 18. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  dah mkuu,umenipa bonge moja la confidence,nashukuru sana!
   
 19. G

  Godfrey waryoba Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi mwenye nimemaliza six mambo hayajakwenda vizuri na nimeamua kuchukua form atc machua age ili nipige civil eng kwa ushauri wangu form 6 sio dili
   
 20. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  dottoz, acha uongo we dogo yani wewe si una credit 2 tena una div 4, alafu unaxema eti una 1? So fair kusema uongo bora uwe muwaz kaka kwan hakuna atakayekucheka.
   
Loading...