Ugonjwa wa kucheka cheka

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
Habari wadada?
Hii ni maalum kwa wadada wote mliowahi kusoma boarding, miaka ile nikiwa secondary niliwahi kusikia kuwa imewahi kutokea kwa shule kadhaa kwa wadada kuugua ugonjwa wa "kucheka cheka" naomba kujua ni kweli hali hii ilikuwa inatokea? inatokeaje? na dawa yake ilikuwaje? na kwa wavulana je? ntashukuru kupata mawazo ya kitaalamu/yenye tija katika hili
 
kwa upande wawavulana jibu unalo ila kwa wasichana dawa yake huwa wanapigiwa disco na watoto waboys ugonjwa unaisha..
 
Mimi napenda kucheka aisee.... lol Lakini haihusiani na boarding... it is just the way I am.
 
Mie nimesoma boarding tena ya masista hatukuwahi patwa na huo ugonjwa na hatukua na mambo ya disko,labda tuwasubiri walioupata!ila binafsi napenda kucheka na ni marufuku kununa!
 
Hapa nimejisikia kucheka ila nimejikaza. Dawa mafuta ya taa yanawekwa kwa msosi.
 
Iringa girls, kilakala, shauritanga, msalato... miaka ya 90s au 80s haikuwahi tokea kwenu?
 
Mie nimesoma boarding tena ya masista hatukuwahi patwa na huo ugonjwa na hatukua na mambo ya disko,labda tuwasubiri walioupata!ila binafsi napenda kucheka na ni marufuku kununa!

Wewe mbona una mikoba kama ya your Wife wangu ? Kwa kumbukumbu zangu tangu early 90" nimemuona amenuna/kasirika x3 tu!
- Siku ilipozama Mv Bukoba!
- Siku ilipozama Mv Spice Irelender !
- Siku ya Milipuko ya mabomu Mbotolagongo!
 
Wasishana wa bweni wanakumbwa sana na hilo tatizo, mimi nimeshuhudia wasichana wakicheka siku nzima kwa kitu cha kawida kabisa. Hilo ni tatizo la kisaikolojia. Dawa: huwa kunakuwa na disco au michezo inayohusisha shule za wavulana. Mafuta ya taa yanatumiwa kupunguza nguvu ya protini i.e maharage
 
hysteria tupu!
Magonjwa ya uzembe wa akili na unaambukizana kama kupiga miayo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom