Recent content by Godfrey Roman

  1. Godfrey Roman

    Raha ya kusoma........

    Ye Oo
  2. Godfrey Roman

    Raha ya kusoma........

  3. Godfrey Roman

    Natafuta mke!

    Kama unataka msomi c umsomeshe mwanao umuoe
  4. Godfrey Roman

    Mohammadu Buhari huna haki ya kuishambulia Gambia na kumuondoa Jammeh...,acha unafki

    Wamngoe tu mimi nayachukia sana maamuzi ya jecha
  5. Godfrey Roman

    Serengeti chupa kubwa ni TZS 2,000, Mungu atupe nini?

    Hizo za buku 2 wapi mkuu maana huku mwanza buku 2 na jero
  6. Godfrey Roman

    King'amuzi gani ni bora ukiacha DSTV

    Ni kweli kabisa azamtv ni ya pili baada ya dstv
  7. Godfrey Roman

    Rais Magufuli: Serikali yangu haitayafumbia macho magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi

    Mwananchi kama wakitaka wapone kwenye panga la mhishimiwa waandike kimombo maana ungenge kwetu shidaaaaaa
  8. Godfrey Roman

    Msafara wa Rais Magufuli wakati akielekea Simiyu

    Acha tuzisome namba mpaka za kirumi
  9. Godfrey Roman

    Uliyemuuzia dada yangu hii TV, Mungu anakuona

    Akuna kuibiwa bila uzembe, ndo maana yake
  10. Godfrey Roman

    Uliyemuuzia dada yangu hii TV, Mungu anakuona

    Yaani iko ivii broo, wanakuja na gari wanakuambia tuna tv mpya tumeichomoa sehemu wanakujaribishia kabisa,kisha wanakutajia bei yajuu ukishindwa bei wanarudisha kwenye box lake wanarudisha kwenye gari lao wanakaa kidogo kisha anarudi mmoja anakutajia bei ambayo unaweza kuimudu kununua ukikubali...
  11. Godfrey Roman

    Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima sii hiyari, tudai vyote

    Katiba yetu inakibeba chama tawala ndio maana wanapiga danadana katiba mpya, katiba iliyopo inasema mtu akishatangazwa na tume ya uchaguzi hakuna mamlaka yoyote inayoweza kutengua, sasa hapo vyama vya upinzani visahau kushika dola hata mshinde kwa 100%
  12. Godfrey Roman

    Mwaka unaisha, nimetembea na wanawake 50, asilimia 60% wake za watu.

    Ndo mana mi sioi ngoo!! kama watoto ninao wawili wananitosha
  13. Godfrey Roman

    Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

    Ukizungumzia mafanikio vyura fc watasubiri sana kwa mnyama bro we kausha tu endelea kugoogle
  14. Godfrey Roman

    Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

    Huyu jamaa kaanza kushabikia mpira kipindi cha Magu ndio maana ana google badala ya kutoa kumbukumbu kichwani
  15. Godfrey Roman

    Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

    Ukisema tufukue makaburi utazidi kuchekwa mkuu, mtafute King kibadeni awakumbushe alichowafanyia miaka hiyo[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Back
Top Bottom