undefine
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 442
- 1,011
Nimesikitishwa sana na maamuzi ya Mohammadu Buhari Rais wa Nigeria kupeleka meli ya kivita katika pwani ya Gambia na anajiandaa kupeleka ndege za kivita Gambia kumuondoa incumbent Strong leader Professor Dr Yahya Jemus Junkung Jammeh
Mohammadu Buhari hana haki hiyo na ni unafki uliokithiri kukubali matendo anayoyafanya Buhari ..ninapinga kwa 100%
mwaka 1966 LT.Mohammadu Buhari alishiriki katika mapinduzi ya kumuondoa madarakani na kumuua Gen.Aguinyi Ironsi
Mwaka 1975 LT Colonel Muhammadu Buhari alishiriki katika mapinduzi ya kumuondoa madarakani Rais Yakubu Gowon
Mwaka 1983 Major General Mohammadu Buhari alikuwa kiongozi aliyeendesha mapinduzi ya kuiondoa serikali iliyochaguliwa kidemokrasia ya Rais Shehu Shagari na kushika hatamu,lakini mwaka 1985 Gen.Ibrahim Babangida alimpindua Buhari
Mwaka 2007 Muhammadu Buhari aligombea urais na kushindwa lakini aliyakataa matokeo na kukata rufaa.
Iweje mtu kama Buhari ndio aongoze mazungumzo ya kumshawishi Jammeh ayakubali matokeo na aachie uongozi?
Napingana na Buhari. ..Buhari hana haki ya kumnyooshea kidole Jammeh ,Buhari hana haki ya kupeleka warships,Aircraft's Gambia
Tupinge na kukataa unafki wa Buhari