mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo dar,nimeajiriwa na nnakazi nzuri tu.Natafuta mchumba aliye serious lengo,badae awe mke.vigezo_awe na hofu ya Mungu,(elimu)awe kafika chuo,awe ameajiriwa serikalini au taasisi yeyote.(tegemezi sitaki),dini na kabila lolote.tafadhali sipendi kubipiwa wala mizaha! aliyetayari anichek 0753 041841


mwenye msambwanda nitampa kipaumbele!mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo dar,nimeajiriwa na nnakazi nzuri tu.Natafuta mchumba aliye serious lengo,badae awe mke.vigezo_awe na hofu ya Mungu,(elimu)awe kafika chuo,awe ameajiriwa serikalini au taasisi yeyote.(tegemezi sitaki),dini na kabila lolote.tafadhali sipendi kubipiwa wala mizaha! aliyetayari anichek 0753 041841
Haya. Ngoja tuwasubiriwakwenu wapo,wanakuja!
Sina cha kuongea maana Mie sio msomivipi tena?

VETA nacho ni chuo brazawaveta siwataki!
hahahahaha kweli mkuu maana watu wanajua ajira ngum wanatoa matangazo kama hayo