Recent content by Godfirst

  1. Godfirst

    JamiiForums Tanzania Kama Humphrey Polepole Yupo Nchini ajitokeze na siyo kujificha ficha Ugenini na kudanganya watu kuwa yupo nchini

    Kwa akili yako siwezi kupoteza nguvu zangu kujibishana na wewe.
  2. Godfirst

    JamiiForums Tanzania Kama Humphrey Polepole Yupo Nchini ajitokeze na siyo kujificha ficha Ugenini na kudanganya watu kuwa yupo nchini

    Na mambo mengine ya hovyo yanayofanywa na viongozi mngekua mnayashikia bango hivi hii nchi ingekua mbali sana. Wewe polepole akihojiwa unanufaika Nini??
  3. Godfirst

    JamiiForums Tanzania Kama Humphrey Polepole Yupo Nchini ajitokeze na siyo kujificha ficha Ugenini na kudanganya watu kuwa yupo nchini

    Ndoto ya mtanzania wewe Lucas sisi wengine tuache kwanza , Kwa mtanzania mwenye utimamu hawezi kuongea hivi it's either ni chawa au ni CCM.
  4. Godfirst

    JamiiForums Tanzania Chama kinachodiriki kushirikiana na Mataifa mengine ili kuharibu mstakabali wetu kifutwe

    Huyu ni chawa, there is no way mtu mwenye akili timamu akaandika hiki kitu ukiangalia na Hali halisi iliyoko nchini. Huhitaji kuwa politicians kuelewa kuwa the country is rotten to the core .
  5. Godfirst

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Jipu uchungu ni hizi shule zilizosahaulika watoto wanakaa chini shule ni mbovu chakavu na zinanuka kinyesi Cha popo wilaya ya muheza ,wilaya ya muleba Kwa matembezi yangu ndio nmezikuta hizo shule ukiambiwa ni shule hutaweza kuamini hata kupumua tu ni shida harufu Kali ya kinyesi Cha popo...
  6. Godfirst

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amefanikiwa kujenga matumaini katika Mioyo ya Watanzania, Ndio Sababu ya kutamalaki kwa Amani na Utulivu hapa nchini

    Watanzania wapi labda achana na sisi huu ufisadi uliokithiri wewe haukuhusu au
  7. Godfirst

    JamiiForums Tanzania Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

    Wewe umeweka ushahidi wowote zaidi ya kulinganisha pande mbili ambayo hauna Mashiko , kusema chuki binafsi Hilo neno tumeshalizoea hamna chuki binafsi vitu vionekane na vinavyoonekana ni utumbo mtupu nasemaje 2025 mkitoboa ni either Kwa kuhonga au kuiba kura period"
  8. Godfirst

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mnaotaka mahindi jumla njooni inbox.
  9. Godfirst

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status: Job seeker Gender: Female Age: 28years Education: Degree in geography and environmental studies Experience: 1 year in monitoring, evaluation and GIS : 2 years in data collection and analysis. 4 months as a environmental coordinator.(At site). Availability: Available. Skills: Computer...
  10. Godfirst

    JamiiForums Tanzania Afisa Uhamiaji ni wala Rushwa waliokithiri

    Habari wanajamvi, Leo asubuhi tumepata ugeni wa afisa Toka uhamiaji. Hapo ndiyo nlipojua madudu ya Hawa jamaa. Ofisi ni ya wachina wameonyeshwa passport wakajiridhisha ila wakawa wanatuhoji Kwa nguvu Kwa kufoka pili wanaongeza vitu vingine ilimradi tu wapate pakuwakawamata Ili watoe fedha...
  11. Godfirst

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakikisha mwanamke uliye naye ana hela au anatoka familia ya kitajiri

    The same goes for ladies , usiolewe na mwanaume masikini
  12. Godfirst

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka mwanamke ambaye uaminifu wake kwangu uko juu kama bei ya petroli kuzidi upendo wake

    Shida mkishafanikiwa mnawaacha ndio maanaa hawatakii siku hizii
  13. Godfirst

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kishika uchumba kimerudishwa

    Wazazi wabinafsi sana na akiendeleaaa kuwasikiliza atashangaa hamna wa kukuoa Just imagine anaingia Tena Kwa soko mpk apate wa kumuoa[emoji23]
  14. Godfirst

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Nini cha kufanya kama mwenza wako alikuficha kuwa ana mtoto, Ukaja kujua baada ya miaka zaidi ya 10 baadaye?

    Binafsi sijaona Cha kufanya ndoa ivunjike Kuna madhara gani yanatokea baada ya kugundua hakuna..so why kufanya mambo magumu huyo baba alikua anatafuta sababu tu .
  15. Godfirst

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usidate na Hawa

    Tusipangiane maisha!
Back
Top Bottom