Haya ni Mawazo ya kimaskini sana , na ukweli watu Wana mentality za kishamba sana ,gari isipokuwa Toyota bac watu hawataki kbs ila ukweli Kuna brand Bora na imara na reliable zaidi ya Toyota nimenunua Mazda cx5 mpk Leo cjajuta
Nchi hii bwana mtu akipata bando tayari ameshakuwa daktari , anaongea mambo ya msi gi sana ,wengine hata medical hawajasomea wala pharmacology ,Tuache unduwazi unapopata ursa hebu chanjwa usije ukatufia bure
sent from HUAWEI
Una talamu yoyote inayohusu mambo ya chanjo ?? Au unaongea tu kwa mihemko ,ni heri haya mambo wakaongea wanaosemea fani husika ,kuliko kuleta porojo kwenye mambo ya maana,kwan mzungu akitaka kukuua lazima ahangaike na chanjo zipo ,njia nyingi za kukuondoa tuache fikra za ukale hivi elimu...
Wale ma expert wa pale ni wakenya .....na wakenya wapo vizuri sana wametuacha sana katika modification za magari .......hata moshi gereji nyingi wamejaa wakenya
sent from HUAWEI
Watanzania tuache roho za uchawi ,pqnapo stahili mtu kusifiwa asifiwe tu ,roho za korosho za nini hazinengi wengi wanaoshabilkia fake hata paaso hawana
Kaka hbr naomba msaada nina mazda rx 7 , ina km 140,000 ghafla tu gari imeqnza kukosa nguvu kbs , engine yake ni ROTATARY , mafuta pia consuption imebadilika na inachelewa sana kuchanganya tatizo hapa linaweza kuwa nini wengine wananishauri kuwa engine hiyo mda wake umeisha hivyo nibadili niweke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.