Recent content by Godbless .m.

  1. Godbless .m.

    Namshukuru Mungu JF imenipa mke mwema

    Njoo toa mahari sasa sio unajilia tu sisi ndo wakwe. Usije ukatutekea mtoto wetu.
  2. Godbless .m.

    Nauza external DVD RW

    Inaukubwa gani Mkuu?
  3. Godbless .m.

    Foundation course

    Yes wanaendelea Jana nilienda kumsajili msela wangu flani hivi ila application fee imepanda sasa hivi ni 40,000/= copy za vyeti uwenazo na passport.
  4. Godbless .m.

    Jamani mishahara imelipwa ya mwezi Agosti?

    Acha dharau, mwalimu kakufundisha kuandika Leo unaandika dharau.
  5. Godbless .m.

    Watumishi wa Ukerewe watakiwa kuwasilisha vyeti ili vihakikiwe

    Watumishi sasa waanza kupeleka vyeti vya Elimu zao. kuanzia kwenye halmashauri. Ona hapo chini tangazo.
  6. Godbless .m.

    Hii ni aina gani ya madini? Ninayo ila sijui ni aina gani

    Tafadhali nambie ili niweze kufahamu pia ukijua na bei itakuwa poa sana wakuu
Back
Top Bottom