Recent content by GOD LOVE

  1. G

    Video: Mange Kimambi anasema uhuru wetu ni muhimu sana kuliko mabilioni anayookoa Magufuli

    Yaani wewe lazima utakuwa mwanaccm mana ndio wavivu wa kufiri yani Mange wamuweke kwenye wanted list [emoji15] [emoji15] [emoji15] maajabu ya Karne haya
  2. G

    Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

    Wewe na huyo boss wako wote akili zenu moja na mmekutana hv na wewe wakisema wanaume wasimame na wewe utasimama? Umeniudhi mpk basi
  3. G

    Niko Dilemma

    Wenzio wanajeshi kanisan kutafta wanaume wenye hofu ya Mungu, we Mungu kukupa second chance unaichezea?!!! Kuna watu wanaishi kwenye maghorofa lakini wanashinda kanisan kuomba Mungu awabadilishe wanaume wao wae na hofu ya Mungu Zaidi Mungu kakupa mwanaume mwenye kuona future unataka nini tena na...
  4. G

    Kuna familia zina laana ya asili

    Wewe unakesi ya kujibu kwa Mungu amekupa Neema ya kujua wasiyoyajua wengine ni jukumu lako kuingia kwenye maombi kwa ajili ya familia yako na wala huna haja ya kusema hayo kwa familia yenu zaidi utainua vita ambayo hutaiweza labda uwe umesimama vizuri na Yesu amesema "vita yetu si ya damu mwili...
  5. G

    Kuna familia zina laana ya asili

    Pia kwenye kuomba wakati Mwingine usitumie akili zako mwambie Mungu hapo ulipo hujui cha kufanya. Mwambie unasurrender kwake Mpe nafasi aingilie maisha yako aondoe kila anachoona kwako ni kikwazo cha maombi yako kwake, akushauri, akupe Mwanga na zaidi akuongoze katika maombi ndio mana anasema...
  6. G

    Kuna familia zina laana ya asili

    Usikate Tamaa kuna kitu Bwana ameweka ndani yako ndio mana akaruhusu hili jaribu lipite ndani yako hapo unashare naye kikombe Chake cha Mateso mwambie akupokee zaid akupe Neema katika kipindi hiki unachopitia amesema "Neema yake yakutosha" simama mtizame yeye usiogope amesema "tunayaweza yote...
  7. G

    Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare wafikishwa mahakamani

    Alikuwa miss Tanzania huyo miaka ya 90
  8. G

    Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare wafikishwa mahakamani

    Sioi alikuwa mwanasheria wa Stanbic
  9. G

    Jinsi nilivyowahi kutapeliwa, Wewe je?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  10. G

    Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

    Kumbe alienda ukawa Baada ya kuaidiwa waziri nilifikiri alienda kwa nia ya kuwatumikia wananchi hata kama hamna chemo Anasema anaogopa shughuli zake kusimamia Huyu naye ni jipu atumbuliwe tu
  11. G

    Mke wangu aliyekataa kubeba mizigo

    Tatizo mkiambiwa mshirikishe Mungu katika kupata Mke naona mnachelewa,kiambiwa mchunguze mpk ukoo wake Mnaona ya kizaman mmebaki kutaka viuno na Mikia na haya ni matokeo yake mnasahau ndoa ni zaid ya viuno na mikia
  12. G

    ''Mwanangu, babako amekufa''

    Kwanza mshukuru Mungu unakazi kuna wengine wanapitia hayo na hawana kazi, Uwezi jua Mungu kakuepusha ni nini juu ya huyo mwanaume pia Mungu karuhusu hili jaribu lipite kwako inawezekana anakuandaa kwa wakati usioujua kuja kuwatia moyo wengine cha muhimu muombe Mungu asema na wewe kuhusu mzazi...
  13. G

    Guys be like "Nina kazi nzuri, Gari, Nyumba, Pesa lakini sipati Mke"

    Ukisema hapa JF hakuna mwanamke atakataa akitongozwa na kibabu mzungu unakosea sana kuna wengine wazungu siyo type Zao
Back
Top Bottom