Tatizo mkiambiwa mshirikishe Mungu katika kupata Mke naona mnachelewa,kiambiwa mchunguze mpk ukoo wake Mnaona ya kizaman mmebaki kutaka viuno na Mikia na haya ni matokeo yake mnasahau ndoa ni zaid ya viuno na mikia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.