Recent content by Go mi num

  1. Go mi num

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hivi mkiachana kwenye mapenzi ni lazima muwe maadui?

    Ndio matusi??? Ukipiga kimya unapungukiwa nini?
  2. Go mi num

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanapotaka wowowo na sura vyote vionekane kwenye picha

    Daa... asante mkuu maana acha tu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Go mi num

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanapotaka wowowo na sura vyote vionekane kwenye picha

    Santeee sana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Go mi num

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wenye makalio makubwa tumegundua ukweli

    Na mimi mwenye kikalio ninacomment wapi sasa?
  5. Go mi num

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtambue mwanamke

    Fresh aisee [emoji2]umejua kunikumbusha mbali sana
  6. Go mi num

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtambue mwanamke

    Mbona kama unanisema mimi mkakaa!? [emoji13]
  7. Go mi num

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania To ladies all of JF!

    Rudi sayari uliyotoroka u don't belong to this planet Alafu rudi kwenye karne uliyotoka We sio wa sayari hii ya dunia tafadhali
  8. Go mi num

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake bwana hahahaha

    Na kweli
  9. Go mi num

    JamiiForums Tanzania Majina ya kike romantic

    [emoji13] [emoji13] Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Go mi num

    JamiiForums Tanzania Diamond aanza kuvaa kikuku mguu wa kushoto

    [emoji3] mkuu kabisa?????? Tufanye go mi num ndio jina halisi
  11. Go mi num

    JamiiForums Tanzania Diamond aanza kuvaa kikuku mguu wa kushoto

    Kabakiza kuvaa bikini tu huyu jamaa maana kipini puani, sketi, nywele kama nyasi na kikuku tayari mzee baba ....
  12. Go mi num

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndiyo majina pekee ya Wanawake wenye ' Baraka ' kama ukiwaoa mengineyo umejitafutia nuksi

    Grace na Neema si ni jina moja jamani ama?
  13. Go mi num

    JamiiForums Tanzania Wangapi mmekutana na huu ujumbe?.

    Mwingine huyo .... Sio mara ya kwanza yaani ya mwisho nilivomuuliza hakujibu mpaka leo
  14. Go mi num

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye

    Sasa ni sifa? Mpaka unakubali kuwa nae huyo mwanaume maanake ulijua kabisa udhaifu alionao na ukaona poa tu sahvi kawa mjinga yupoyupo tu .... Nawe vivo hivyo maana ulikubali kuwa nae na ujinga wake Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
  15. Go mi num

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kutongozwa imekaaje?

    Sijamwambia hata mmoja ila nimesema nikikupenda sana ukanikaa rohoni haswa nakwambia tu
Back
Top Bottom