Mtambue mwanamke

malisak

JF-Expert Member
Mar 16, 2006
694
772
Wanaume wengi wanashindwa kutambua wanawake kwa haraka hasa katika sekta ya tongozo. MWanamke ni kiumbe mmoja ambae ni makini sana na ni mgumu kuonesha hisia zake haraka. Unaweza ukamtongoza akakutukana kabisa au akakupa maneno ya kuumiza ila unatakiwa kumsoma kwanza kabla hujafanya maamuzi ya kukata shauri na kubwaga manyanga.

Sababu kubwa ya sitaki nataka huamini ya kuwa endapo atakujibu haraka haraka ana hofu utamwona muhuni au hana maadili hivyo hubana hisia zake kwako, na pengine usiku halali kwa mawazo juu yako ila kwakuwa kaumbiwa hofu ya kuhisiwa negativity anaona akomae.

Pia wanawake wengi hupenda kubembelezwa na ule usumbufu wanaowapa wanaume wao ndio huhisi kupendwa zaidi au kuna muda huhisi wanaume wanawajaribu na hii inatokana aidha na historia na. n.k.

KWahiyo wanaueme mjifunze kuwasoma kwanza kabla hamjajingiiza mwanamke akikupenda kumjua ni rahisi sababu ya aibu na sitaki nataka zake na huyo huenda ikawa ni bora sina uhakika. Ila mwanamke mwengine anaweza kuwa mwepesi kukukubalia haimaniishi ni muhuni ila mwengine akipenda mtu haoni sababu ya kumzungusha. So muombe Mungu akupe jicho la tatu la kumwona kiundani zaidi unless unataka hit and run.
 
Hawa vijana wa siku hizi ambao wanawaza kupiga na kusepa sidhani kama wana huo muda

Jamii imeharibika sana
 
Kama namtongoza mwanamke akinitukana kuna mawili nipige chini kabisa au niendelee anikubali,nitomb* nipige chini.

Sidumu MDA Mrefu na mwanamke mjinga.Kama mwanamke anaweza kumtukana mtu kisa kamtongoza hiyo Ni ishara ya awali ya uwezo mdg wa kuchambua mambo.Na type hizo ndo zile mbeleni unasikia mtu anatukanwa na mkewe.

Na kwa lugha nyingine Ni pale mwanamke anapotongozwA na mwanaume leo leo na siku hiyo hiyo anaombwa game.Mwanamke ukijikutana kwenye situation km hiyo na unajijua we sio Malaya piga chini huyo mwanaume na kamwe usimkubali Tena hata km unampenda VIP.
 
Mkuu inawezekana kabisa wewe ni wa umri wangu na hao wanawake na wanaume unaowaongelea ni wa kizazi chetu na sio kizazi hiki cha sasa..! Kwanza tu hilo neno kutongoza siku hizi halipo kwenye kamusi za vijana wakike na wakiume.
 
Ni kweli kabisa
 
Kama namtongoza mwanamke akinitukana kuna mawili nipige chini kabisa au niendelee anikubali,nitomb* nipige chini.

Sidumu MDA Mrefu na mwanamke mjinga.Kama mwanamke anaweza kumtukana mtu kisa kamtongoza hiyo Ni ishara ya awali ya uwezo mdg wa kuchambua mambo.Na type hizo ndo zile mbeleni unasikia mtu anatukanwa na mkewe.

Na kwa lugha nyingine Ni pale mwanamke anapotongozwA na mwanaume leo leo na siku hiyo hiyo anaombwa game.Mwanamke ukijikutana kwenye situation km hiyo na unajijua we sio Malaya piga chini huyo mwanaume na kamwe usimkubali Tena hata km unampenda VIP.

Hicho kithathi
 
Back
Top Bottom