Wadada wenye makalio makubwa tumegundua ukweli

thomas_360

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
1,459
1,428
Daaah!! Wadada mnakwama wapi lakini?? Hivi huwa mnatafuta nn? Kwann tunaenda kinyume na uumbaji wa mwenyezi Mungu?? Wadada wenye hii tabia au ambao wanafikiria kufanya vitu kama hivi, hebu achaneni jamani!!

Point kubwa ni kuwa tujaribu kubaki katika hali ambayo tumezaliwa nayo, mengine tunajitafutia maradhi tu na laana kutoka kwa mwenyez Mungu!!

Hatari sana...

Ghafla tako limeumuka... hii yote ni kutuvutia sisi wanaume...

Bora huyo, kuliko wale wa plastic sugery, wanachinjwa na kuingiziwa mifuko ya maji... mfano wa boobs implant...

Cc: mahondaw
 
Mnatabika sana kwa ajili yetu mara english figure,mara wowowo mpododo tukunyema maboobs manyonyo mara wanaume tunachange tunawataka chuchu saa sita mara tumegaili sasa hivi wanawake wafupi zamu yenu inakuja...
 
Halafu wengine sie hatupendi wanawake wenye matako mikubwa maana
Mnatabika sana kwa ajili yetu mara english figure,mara wowowo mpododo tukunyema maboobs manyonyo mara wanaume tunachange tunawataka chuchu saa sita mara tumegaili sasa hivi wanawake wafupi zamu yenu inakuja...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom