Wangapi mmekutana na huu ujumbe?.

Wangapi mmekutana na huu ujumbe?.

Nilipopata hiyo sms wala sikusumbuka.
Nili-edit sms ya M-pesa niliyokuwa nimetumiwa pesa, pale kweny kiasi nikaweka 1mil, then nika-edit muda....nikamtumia
Then nikamtumia sms nyngn nikamwambia Samahani Kwa Kukucheleweshea Pesa Yako.
 
Mi hao jamaa nimekuwa nikiwatukana matusi nadhani wataelewa tu kwamba huyu jamaa tusiwe tunamtumia
 
Sio ww mwenyw mkuu
Screenshot_20180508-210044.jpg
 
jamaa yangu mmoja alikua anadaiwa na mama mwenye nyumba wake sasa siku akampigiwa na yule mama kwamba lini atampa hela yake jamaa akasema nakutumia sasa hivi...ile kukat simu ikaingia msg km hyo jamaa akatuma bila kuuliza ilikula kwake
 
Kwangu imeshakuja mara 4 halafu kila mara anamalizia 'fanya haraka nipo kwa wakala' .Siku moja nikatuma sms kumuuliza hela gani hiyo hakujibu .Kwangu huwa inakuja kwa namba ya Tigo
 
Halaf kwa nini mitandao ya simu hasa voda na Tigo ipo kimya kama vile hawaoni hizo sms za kitapeli?
 
Mwingine huyo .... Sio mara ya kwanza yaani ya mwisho nilivomuuliza hakujibu mpaka leo
Screenshot_20180508-215503.jpg
 
Mi nimemkamulia matusi hadi akakata simu eti anatuma sms rahisi ile pesa tuma kwenye namba hii simu yangu inasumbua mpesa namuuliza pesa ipi anauma maneno kala matusi ya haja hajarudia tena
Duuuu! 'umemkamulia'
 
Nafikiri ni wao wafanya kazi wa makampuni ya simu ndio wanafanya hivyo. Watu wengine wanajuaje una miadi ya kumtumia mtu pesa!!!

Jana kidogo niingie mkenge, akili ikanijia kupiga simu kwanza.
 
Nimemjibu jamaa "nimeshatuma kwenye namba yako yenye shida, wapigie voda " akapiga kimya...
 
Yeah ni kwel hata Faza angu alitumiwa hiyo, braza angu pia
 
Mimi juzi nilikumbana na mtu anadai kilimo chake kigumu ...mara anataka vifaa kkoo sijui mara pesa walituma Yaani mtu hasiye eleweka ..mimi nikamwambia nashukuru sana maana nilikuwa natafuta mtu wa kafara maana mganga alisema atakayenipigia simu nimtoe ,nikasikia twitiwitiiiii sijui alitupa simu
 
Mimi kuna MTU ananidai.nikamuahidi nitatuma asubuhi sana.nilivyoona hiyo msg tuma katika namba hii nikadhani ni yule wa Jana.nikatuma.nimeliwa
 
Wafanyakazi wengi wa huduma hizi ni matapeli na wana mtandao kama wauza unga
Yaani hakuna haiba ya kazi na heshima siku hizi

Ni kama bank, zamani wafanyakazi wanaheshimika hata chai unaweza kumkaribisha lakini siku hizi unawapita tu maana wamekuwa watu wa kudondosha elfu kumi chini
Yaani millennium imekuja na mambo ya ajabu sana kila sekta ni wizi tu aaaghhh
 
kumbe kuna watu wanaliwa na hzi sms zisizoeleweka

afu hapa kila mtu kapewa jina tofauti htar san
 
Back
Top Bottom