Mvumilivu hula mbivu atakubali tuKuna demu namtongoza huu mwaka wa nane
Wanaume wengi wanashindwa kutambua wanawake kwa haraka hasa katika sekta ya tongozo. MWanamke ni kiumbe mmoja ambae ni makini sana na ni mgumu kuonesha hisia zake haraka. Unaweza ukamtongoza akakutukana kabisa au akakupa maneno ya kuumiza ila unatakiwa kumsoma kwanza kabla hujafanya maamuzi ya kukata shauri na kubwaga manyanga.
Sababu kubwa ya sitaki nataka huamini ya kuwa endapo atakujibu haraka haraka ana hofu utamwona muhuni au hana maadili hivyo hubana hisia zake kwako, na pengine usiku halali kwa mawazo juu yako ila kwakuwa kaumbiwa hofu ya kuhisiwa negativity anaona akomae.
Pia wanawake wengi hupenda kubembelezwa na ule usumbufu wanaowapa wanaume wao ndio huhisi kupendwa zaidi au kuna muda huhisi wanaume wanawajaribu na hii inatokana aidha na historia na. n.k.
KWahiyo wanaueme mjifunze kuwasoma kwanza kabla hamjajingiiza mwanamke akikupenda kumjua ni rahisi sababu ya aibu na sitaki nataka zake na huyo huenda ikawa ni bora sina uhakika. Ila mwanamke mwengine anaweza kuwa mwepesi kukukubalia haimaniishi ni muhuni ila mwengine akipenda mtu haoni sababu ya kumzungusha. So muombe Mungu akupe jicho la tatu la kumwona kiundani zaidi unless unataka hit and run.
Duniani hapa hapa mkuu?Kuna demu namtongoza huu mwaka wa nane
Anatokea venusDuniani hapa hapa mkuu?
Mkuu, kwani wewe na Mama Theodore mmeachana au?
Hahaha
Mkuu ashaniacha
Vitu vingine humu tunatania tu sasa miaka naanzaje
Wanaume wengi wanashindwa kutambua wanawake kwa haraka hasa katika sekta ya tongozo. MWanamke ni kiumbe mmoja ambae ni makini sana na ni mgumu kuonesha hisia zake haraka. Unaweza ukamtongoza akakutukana kabisa au akakupa maneno ya kuumiza ila unatakiwa kumsoma kwanza kabla hujafanya maamuzi ya kukata shauri na kubwaga manyanga.
Sababu kubwa ya sitaki nataka huamini ya kuwa endapo atakujibu haraka haraka ana hofu utamwona muhuni au hana maadili hivyo hubana hisia zake kwako, na pengine usiku halali kwa mawazo juu yako ila kwakuwa kaumbiwa hofu ya kuhisiwa negativity anaona akomae.
Pia wanawake wengi hupenda kubembelezwa na ule usumbufu wanaowapa wanaume wao ndio huhisi kupendwa zaidi au kuna muda huhisi wanaume wanawajaribu na hii inatokana aidha na historia na. n.k.
KWahiyo wanaueme mjifunze kuwasoma kwanza kabla hamjajingiiza mwanamke akikupenda kumjua ni rahisi sababu ya aibu na sitaki nataka zake na huyo huenda ikawa ni bora sina uhakika. Ila mwanamke mwengine anaweza kuwa mwepesi kukukubalia haimaniishi ni muhuni ila mwengine akipenda mtu haoni sababu ya kumzungusha. So muombe Mungu akupe jicho la tatu la kumwona kiundani zaidi unless unataka hit and run.
Hahaha nambie mrembo
umejua kunikumbusha mbali sanaMrembo angu ana jina la kikorea kama lakoFresh aisee
umejua kunikumbusha mbali sana
Unamtia kindimu sio 🤣🤣🤣,,, naku approach seriously mara ya kwanza, kuanzia ya pili i do it for fun.Mvumilivu hula mbivu atakubali tu
Hahaahaa hahahaha hahhaa! DohUnataka kutuaminisha tumfatilie mwanamke kama tunavyofatilia mafao ya kustaafu?
Ooh!shit Demu akinizingua zaidi ya wiki akafie mbele ya safari
Primitive love mtu akikielewa elewaneni tu mambo ya kubembelezana ni upumbavu.Wanaume wengi wanashindwa kutambua wanawake kwa haraka hasa katika sekta ya tongozo. MWanamke ni kiumbe mmoja ambae ni makini sana na ni mgumu kuonesha hisia zake haraka. Unaweza ukamtongoza akakutukana kabisa au akakupa maneno ya kuumiza ila unatakiwa kumsoma kwanza kabla hujafanya maamuzi ya kukata shauri na kubwaga manyanga.
Sababu kubwa ya sitaki nataka huamini ya kuwa endapo atakujibu haraka haraka ana hofu utamwona muhuni au hana maadili hivyo hubana hisia zake kwako, na pengine usiku halali kwa mawazo juu yako ila kwakuwa kaumbiwa hofu ya kuhisiwa negativity anaona akomae.
Pia wanawake wengi hupenda kubembelezwa na ule usumbufu wanaowapa wanaume wao ndio huhisi kupendwa zaidi au kuna muda huhisi wanaume wanawajaribu na hii inatokana aidha na historia na. n.k.
KWahiyo wanaueme mjifunze kuwasoma kwanza kabla hamjajingiiza mwanamke akikupenda kumjua ni rahisi sababu ya aibu na sitaki nataka zake na huyo huenda ikawa ni bora sina uhakika. Ila mwanamke mwengine anaweza kuwa mwepesi kukukubalia haimaniishi ni muhuni ila mwengine akipenda mtu haoni sababu ya kumzungusha. So muombe Mungu akupe jicho la tatu la kumwona kiundani zaidi unless unataka hit and run.
Hii ni part 2. Maana ile ya kwanza ilikuwa na kurasa 24,000 na bado iliitwa part oneWacha weeh, hiyo ni Kumwelewa mwanamke Edition ya ngapi? maana nasikia zipo na zinaendelea kutoka.
Cha kushangaza huyu nimpendae humu bado hajanitambua![]()