Recent content by Go ahead

  1. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dagaa

    kua makini usijaribu kwenda eneo la kukusanyia mzigo' huku bado haujafanya taratibu za vibali, ushuru na leseni ya biashara ' utakuja kujuta mimi hadi leo nalia na mwenyeji wangu' nilienda kimoyomoyo"
  2. G

    JamiiForums Tanzania SIBERIA: Milipuko miwili yateketeza viwanda 2 vya kusafisha Mafuta nchini Urusi

    Tusubiri hasira za Putin' kulipiza"
  3. G

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    mkuu" Dege' kubwa tuo ufafanuzi tuje na gprs ya goole
  4. G

    JamiiForums Tanzania Partners: Kama una mtaji naomba tufanye hii biashara

    1ok - 30k unamaanisha nini!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kweli: Mauaji ya Wachawi Dodoma na kisa cha 'Kanyaga Twende'

    matata" kipepeo Jungu" unaonaje hii story utafute watu mshirikiane iweke ktk movie" utapiga pesa"
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna biashara inafilisi kama uchimbaji wa madini

    kibaha sehemu ipi mkuu
  7. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanunuzi juu ya kisa cha tajiri na yesu(luka 18:18-27)

    kumbe hata ukizishika amri zote upo uwezekano mbinguni usiingie. mimi nilijua ndani ya amri kumi ndio zimebeba vigezo vyote vya kuingia mbinguni" na jamaa alimhakikishia YESU' kua amezishika tokea utotoni ndio maana alijibu kwa uhakika . kama ingekuwepo kuna hata amri moja aliyoivunja...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Chonde Chonde Mama Zinduna, hata Mimi nina moyo!

    mh!!!!! kweli mama zinduna haukuigusa hata nanih'ii yake????
  9. G

    JamiiForums Tanzania Naenda Dar kutafuta maisha, naombeni direction

    ukifika jichanganye ktk miradi ya makampuni ya ujenzi' anza kupiga kazi za kibarua baadae utapata ujuzi, ndani ya iyo kampuni' kama operator wa roller, scavator, wheelroader, dozier, driver, electrician, carpenter, steelfixer, scaffolder na vingine vingi, kama, safety controller hivyo vyote...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Jirani anafuga nguruwe wananikera sana, nifanyeje ili wafe?

    unaonaje ukiuza nyumba ukajenge mahali pengine' nakule ukimaliza tu' kujenga anaongezeka jirani mwingine pembeni tu' ya nyumba yako anafuga hao wadudu'
Back
Top Bottom