Muhimu kugusa pande zote za utaftajiMbaya wewe
Msimdanganye mwenzenu, Ukiwa na bidii na uvumilivu Dar utasonga
Uje na mbao.
Kwa ajili ya roba usiku.
Mchana deiwaka, usiku kibaka
Deiwaka ngumu aisee Siku hizi. Utasikilizia getin Hadi uchokeUnatokea wapi?
Una ndugu?
Una ujuzi gani?
Kwa kuanza kaombe deiwaka kwenye viwanda ule buku 7 kwa siku.
Mdogo mdogo utalijua jiji vizuri
Kikubwa njoo na Nida.
Umetisha!1.Uza kahawa, karanga, machungwa, matunda,mayai,mitumba,umachinga,kuuza mifuko,kuosha magari,saidia fundi,parua samaki feri,kupakia mchanga, kuokota makopo ,chuma chakavu,mabox,nailoni.kupiga debe bidhaa masokoni.
SEHEMU ZA KULALA
.Chini ya madaraja,vibaraza vya madukani mjini,stand kuu,beach baharini, mashuleni, msikitini, kanisani, airport, kwenye masofa ya night clubs,nk
Maisha popote tu ukiwa na malengo.Mjini njoo na akili na uaminifu wako tu
ukifika jichanganye ktk miradi ya makampuni ya ujenzi' anza kupiga kazi za kibarua baadae utapata ujuzi, ndani ya iyo kampuni' kama operator wa roller, scavator, wheelroader, dozier, driver, electrician, carpenter, steelfixer, scaffolder na vingine vingi, kama, safety controller hivyo vyote unavijulia ukiwa kama kibarua.
Ina maana hapo huna maisha? Mkuu maisha nani alikwambia yapo Dar? Huku nako watu wanakufa kama huko tu wanapoteza maisha. Kama wewe umekufa au unakaribia kufa fia huko huko uliko ingekuwa dar kuna maisha huku watu wangekuwa nayo hata matatu au manne.Kwa wazoefu wa jiji la Dar nina pesa ya nauli na ya kula tu kulala nitajua mbele kwa mbele pesa ya kula ipo ya wiki mbili kwa milo miwili tu kwa siku bajeti ya 2000 per day, naombeni direction
Hakuna maji wala umeme aisee so basi tu .Kwa wazoefu wa jiji la Dar nina pesa ya nauli na ya kula tu kulala nitajua mbele kwa mbele pesa ya kula ipo ya wiki mbili kwa milo miwili tu kwa siku bajeti ya 2000 per day, naombeni direction
Mjini, Jijini kuna vijimambo vya ajabu ajabu sana anyway kaona na kasikia ulichomwandaliaMeseji uliyonitumia nimeiona
unataka kuja mjini kaka
huku mjini wala hakuna raha
matatizo kila kukicha
Unaweza ukaja kuwa tu chokoraa
unaweza ukaja kuwa panya road
watu wakakukamata wakakuchoma
ajira nyingi mjini zimekoma
watu wanaokota makopo kaka
unaweza ukaja ukawa unapakatwa
huko Kimbiji wakasikia wakakucheka
keshokutwa usije Mjini kaka
nakusihi usije dar es salaama
umaarufu mi nlionao mpaka leo naunga unga
wanasiasa na mafisadi ndo wapo juu
chizi mimi bado nataabika
we nisubiri Kimbiji
usije kaka
usije mjini kaka
nakuomba usije Dar es salaama