Recent content by Gmhongole

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha taifa kuwa na expire date maanake nini?

    Ili wapate kuiba tena hata mm haiingii kichwani
  2. G

    JamiiForums Tanzania BOT na Kashfa ya kuuzwa kwa sarafu ya mia tano /Tsh 500

    Achana na uzushi hakuna kitu kama hicho
  3. G

    JamiiForums Tanzania Madereva wa kike kwanini mko hivi?

    Wasameheni hao hasa akina Dada kwani wao kuendesha magari wanaona ni fashion
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mjue Mtemi Mkwawa wa uhehe na Wahehe

    Big up mtoa maada chezea wahehe wewe
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Mayweather utata

    Matapeli wakubwa upendeleo dhahili kabisa hata kwa asie jua sheria za ngumi lkn ndiyo hivyo majaji ndiyo wenye maamuzi ya mwisho
  6. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Bilionea Dangote akagua ufukwe atakaojenga bandari yake ya kisasa Mtwara

    Haya ndugu zangu wa kijiji cha MSIJUTE msije juta kama jina lenyewe
  7. G

    JamiiForums Tanzania Gwajima ang'ang'ania kusali viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe

    Hatafuti eneo lake
  8. G

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Sina ugomvi na Jeshi la Polisi wala Serikali

    Haa haa haaaa kweli ni shidaaaa
  9. G

    JamiiForums Tanzania SUMATRA yawafutia leseni madereva sita waliosababisha ajali na kuua

    Huyu meneja wa Tanroad anastahili kafukuzwa kazi kwa uzembe wa hilo shimo maana lipo siku nyingi na lilizidi kuongezeka siku hadi ilipotokea ajali na analijuwa vizuri ni uzembe wa hali ya juu
  10. G

    JamiiForums Tanzania Charles Hillary: Nimestaafu kwa Hiari

    Karibu nyumbani utupe vionjo vya utangazaji wa mpira japo siku moja moja
  11. G

    JamiiForums Tanzania Je! Ni kweli wahehe wanakula mbwa?

    Daaa mm sijaona cha ajabu nyama ya mbwa ni kitoweo kizuri kama vitoweo vingine yaani mumenifanya nifungue friji nichukue kipande na kukipasha moto shida yenu hamjui utamu wake nyee vamwagito na vasegito
  12. G

    JamiiForums Tanzania Gwajima akimbizwa Hospitali Muhimbili usiku huu

    Adhabu ni hapa hapa duniani akiona watu wanamshangilia anajiona mtumishi wa mungu huku akisahau madhambi yake lakini wastarabu tunamsamehe
  13. G

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Usiumize kichwa kwa huyo mwana kondoo mpenda wake za watu
  14. G

    JamiiForums Tanzania Utapeli mpya wa Meridian Betting Online hauvumiliki kamwe

    Wajinga ndio waliwao
Back
Top Bottom