Madereva wa kike kwanini mko hivi?

Madereva wa kike kwanini mko hivi?

Kwani we unataka uwachomekee...wewe huwa unakubali wanakuchomekee
 
Uwa mnakera sana wewe unapita uko pembeni unakokimbilia baa au mchepuko alafu mimi mama wa familia nimeamua kukaa kwenye foleni nasubiriwa nikapike sikupishi ng'oooo
 
Ni ukweli dhairi kwamba madereva wa kike ni makini sana pia ni nadra kusikia wamepata ajali,ila kwanini madereva wanawake wakiwa kwenye foleni hawapendi kuchomekewa na magari mengine yaliyopo nyuma yao?

Yaani wanabana sana huwezi kuwachomekea na gari yako. Kwanini wako hivi?
We unapenda kuchomekewa..??
 
Back
Top Bottom