Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,479
watu wanakula sana mbwa aisee, ila wanakula kwa njia ya mishikaki hasa hiyo ya uswahilini na kwenye chipsi za harakaharaka. ukitaka kumnyoshea kidole mhehe kuwa anakula mbwa jua wewe pia vinne ninakuonyesha. madogi yanachunwa sana halafu wanakatakata mishikaki. ukiona kuna mishikaki haina mfupa na milaini kama ya mbuzi na muuza chipsi anakwambia ni ya ng'ombe, jua umelishwa mbwa.madogi kibao tu yanagongwa na magari mijini humu lakini hatuoni yanazikwa wapi? utaenda kuchimba kwenye kiwanja cha nani ufukie dog? na majalalani hatuyaoni manake likikaa siku mbili litanuka sana na huwa hatuoni yakinuka baada ya kugongwa yanaenda wapi?