- Thread starter
- #21
Swali lako Ni la msingi Sana ila bahati mbaya wengi wamekimbilia kukujibu(hata Kama hawaelewi zaidi yako). Kwenye process ya kupata kitambulisho chako Kuna 'variable details' umesajilisha. Mfano sura, mfanyakazi/mwanafunzi, makaazi, marital status, nk. Kwa hiyo baada ya muda husika maisha yako yanabadilika kwa mambo mengi mfano;mwanafunzi>kuajiriwa, sura inabasilika, unaweza hamishia makaazi mahali tofauti Na eneo ulilopatia kitambulisho nk. Hivyo ku-renew kitambulisho maana yake kusajilisha current variable details zako. Usipokuwepo huo utaratibu sisi wenyewe siku moja likijatokea tazizo la serikali kutumia invalid details tutajaa humu kutukana kama vile hatuna malezi mema. Nawasiliaha.
Wapo watu wachache sana humu jf watu wenye akili timamu kama wewe,wengi wanakimbilia kuandika tu bila ya kujua wanaandika nini,ili mradi tu waonekane wajuaji!