ccm IMEPOTEZA dira na mwelekeo, viongozi wanaangalia maslahi yao na familia zao. Watendaji wanateuliwa kwa kujuana na sio utaalamu matokeo yake ni mawazo rahisi kwa mambo magumu, no creativity, kila kitu wa cut na ku paste. Hakuna kauli moja ya viongozi(kila kiongozi ana kauli yake kwenye jambo...