Recent content by G'luv

  1. G

    PreGE2025 Dkt. Mujwahuzi: Vyama vingine viige mfano wa CCM katika kuchagua viongozi

    Kuna mahali kaiponda Kenya kwa kuwa na Marais waliotoka makabila mawili tu lakini Tz tumekuwa na Marais kutoka makabila 6 tofauti. Lakini ajabu hajasema kwanini upande wa Tz Marais hao 6 ni kutoka Bakwata na TEC tu na siyo Imani nyingine tofauti... Dkt Mujwahuzi kazingua
  2. G

    "Kama Ningekutana na Ndugu Paul Makonda ningemshauri hili.."

    Hakika ni ushauri murua. Kumtumikia Mungu kuna faida sana ila gharama yake ni kubwa kuliko Utumishi wa umma
  3. G

    Survey (Maoni) kuhusu Maendeleo ya Kidijitali yanavyoweza kuchangia katika kukuza Demokrasia Tanzania

    Tumia kiunganishi (link)kifuatacho ili uweze kuchangia maoni yako. Huhitaji kutaja jina maana taarifa za mtoa maoni ni siri (anonymous) hata kwa mpokea maoni. Unaweza kuandika majibu yako kwa Kiswahili iwapo utaona lugha ya malkia inazingua. Lengo la survey hii ni kutimiza matakwa ya kitaaluma...
  4. G

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    yatima wanahitaji kutunzwa
  5. G

    Uwazi wa Mikataba katika Sekta ya Uziduaji (Mafuta, Gesi na Madini)

    Ngoja wakwibe kwanza maana hawa wote kambale sioni tofauti yao katu
  6. G

    Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

    Isome kwa jicho tofauti usiende straight.....
  7. G

    Tuhuma dhidi ya Membe: Bashiru hajakurupuka, kuna ukweli

    Kwa hiyo BM pia ndiye alimtoa Dr K pale BoT na kumpeleka NEC na baadae NIDA?
  8. G

    Marufuku kuonyesha filamu ya Fifty Shades of Grey

    Tunapenda kuchanganya madesa...wao wameagiza kumbi za Sinema zisioneshe hii muvi hawajapinga wananchi wasitazame kwa nafasi zao. Haya mambo hayawezi kuachwa hivi hivi eti kisa kuna watanzania wataweza kuangalia online ama vinginevyo. Sigara zimekatazwa lakini hazijazuiwa sasa ukienda kwa mtazamo...
  9. G

    Ving'amuzi vina kamera za kumchunguza mmiliki?

    Kwa vile umedandia gari kwa mbele ndiyo maana umeuliza maswali hayo. Ungefuatilia ni wapi nimetokea na maelezo yangu usingeuliza hivyo lakini usijali ndiyo hulka yetu Watanzania. Next time hujaelewa unauliza kuliko kuchangia tuu ili mradi mtu kaandika nawe uandike.
  10. G

    Lawrence Nyasebwa Mafuru Msajili wa Hazina mwenye kasi

    Sasa wakibadilisha Agency kama TBA iwe shirika unataka NHC iwe nini sasa? Kuhusu TANESCO, kilichobaki ni Sheria kubdilishwa lakini kwenye Strategic Plan ya Shirika, kutakuwa na mashirika matatu tofauti ambayo yataingizwa kwenye Soko la Hisa kwa ajili ya kuruhusu umma kumiliki hisa. Hivyo...
  11. G

    Ving'amuzi vina kamera za kumchunguza mmiliki?

    Ingekuwa kweli basi Ikwiriri wasingeporwa silaha....fikiri nje ya boksi khaaa
  12. G

    Mtanzania auawa Ujerumani kwa kuwekewa sumu

    Ubaguzi upo kila mahali lakini sababu ya kifo siyo lazima iwe ni ubaguzi wa rangi/ Matukio kama hayo yanatokana na masuala binafsi zaidi
  13. G

    Endapo Warioba ameficha takwimu za mabaraza ya Katiba

    Msiumize vichwa wapendwa, jambo la msingi tutambue kuwa Mabaraza ya Katiba yalijadili kile kilichoandikiwa baada ya mawazo ya wadau kukusanywa (kabla Rasimu ya kwanza haijatoka). Maoni ya msingi yalikuwa ni yale yaliyokusanywa mwanzo. Unajua ni sawa na mtihani ukiishafeli swali moja halafu ukaja...
  14. G

    Chuo cha Mipango Dodoma

    Hahaha mwambie akupeleke Udom au Udsm au kwingine ukasome Business Administration... mwenye kutaka kufahamu chuo aangalie hii prospectus kupitia Institute of Rural Development Planning hapo utaweza kujisomea nini chuo hiko kinafundisha.
  15. G

    Jenerali ulimwengu achafua hali ya hewa mkutano wa kutathmini APRM kwa kuhoji kura za urais za 2010

    Duh hapa sasa ni kutokuwa na ufahamu kuhusu utendaji kazi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama. Ofisi hii kwa mujibu wa Sheria za nchi haihusiki na usimamizi wa kura wala masuala ya uchaguzi moja kwa moja zaidi ya kusimamia shughuli za Vyama kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria za nchi wakati...
Back
Top Bottom