Recent content by Gluk

  1. Gluk

    Atakayeweza kunisaidia kupata sms na calls nilizofuta

    Najua Hilo ila nahitaji kujua zaidi Asante kwa mchango wako
  2. Gluk

    Atakayeweza kunisaidia kupata sms na calls nilizofuta

    Habari waungwana, Nina laini yangu mwenyewe niliyoisajili kwa NIDA yangu sasa nikampa mdogo wangu akawa anaitumia ila akawa kuna watu anawasiliana nao kwa sms na kuwapatia Pesa Sasa lengo langu, nahitaji zaidi kupata sms zote za nyuma mwezi mmoja nyuma zote na calls, laini ni mtandao wa Voda...
  3. Gluk

    Naombeni ushauri kabla hili halijaniua

    Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo. Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke...
  4. Gluk

    Bajaji ya abiria inauzwa

    Bajaji inauzwa bei sawa na bure ni kampuni ya Sinoray. Capacity cc200 Seats 8 Usajiri ni DSG full document Ni kununua na kuingia barabarani haina changamoto yoyote Bei ni Milioni 3,200,000 haipungui Pia naitoa kwa mkataba kama wewe ni dereva una leseni na una mdhamini. Mawasiliano 0758161628...
  5. Gluk

    Nina nyumba uswahilini inatengeneza Tsh. 40,000/- kwa mwezi, niendelee au napoteza muda?

    Hii ilinikuta mm niliingia kichwa kichwa nikajenga vyumba vya kupangisha kwa zaidi ya M 40 kuja kupiga hesabu ya kurudisha hiyo pesa nikaona kuwa itanichukua miaka 20 kuja kurudisha pesa yangu nikauza nikafanya mambo mengine.
  6. Gluk

    Wife material anahitajika

    Hivi mbona mtaani madem kibao na wakali, binafsi nashangaa sana mtu anayetafuta mpenzi mtandaoni hususani kwa sisi waafrica. Kwanza mwanamke miaka 27 kuendelea mbona kama unanunua gazeti jioni.
  7. Gluk

    Serikali inapoteza mapato katika kituo cha mabasi cha nyegezi

    Habari wanajukwa. Leo acha niwasanue wasimamizi wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha nyegezi mkoani mwanza. Huenda hawajui haya au wanajua ila wanafumbia macho Kwanza wale wanaokatisha tiketi za kuingia ndani kituoni mara nyingi ukiwapa pesa kubwa wanakata shilingi 300 badala ya sh 200...
  8. Gluk

    Tunaomba kujua hizi ni dawa za nini

    Hahaha haha nipo ndugu sijatoeka ghafla na wala siwezi kujizuru maana hizo dawa kuna mtu tumemkuta nazo ila akawa ana bisha kuwa sio za ukimwi ndo maana nikaja kuuliza hapa.
  9. Gluk

    Tunaomba kujua hizi ni dawa za nini

    Hahaha haha nipo ndugu sijatoeka ghafla na wala siwezi kujizuru maana hizo dawa kuna mtu tumemkuta nazo ila akawa ana bisha kuwa sio za ukimwi ndo maana nikaja kuuliza hapa.
  10. Gluk

    Tunaomba kujua hizi ni dawa za nini

    Naomba kujua matumizi ya hizi dawa
  11. Gluk

    Ushauri wa kuhusu hii bajaji kampuni ya Sinoray J3

    Asante kwa ushauri nimeiona dukani mkuu
  12. Gluk

    Ushauri wa kuhusu hii bajaji kampuni ya Sinoray J3

    Habari zenu wana Jamiiforum bila kuwachosha naombeni ushauri juu ya hii bajaji. Ni kampuni ya Sinoray J3 ina uwezo wa kubeba watu 8, cc 200. Inatumia rejeta nimeiona nikaipenda sana na bei yake ni M7.8 maana nimeona kama inafaa zaidi kulingana na idadi ya watu inaobeba. Naombeni ushauri wenu...
  13. Gluk

    Hili la tukio la Kahama leo limeniacha kinywa wazi

    Na bora sasa huyo Jux mwenyewe angekuwepo, Jux mwenyewe yuko huko kigoma.
Back
Top Bottom