Ushauri wa kuhusu hii bajaji kampuni ya Sinoray J3

Gluk

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
1,856
2,954
Habari zenu wana Jamiiforum bila kuwachosha naombeni ushauri juu ya hii bajaji.

Ni kampuni ya Sinoray J3 ina uwezo wa kubeba watu 8, cc 200. Inatumia rejeta nimeiona nikaipenda sana na bei yake ni M7.8 maana nimeona kama inafaa zaidi kulingana na idadi ya watu inaobeba.

Naombeni ushauri wenu kuhusu changamoto zake na mapungufu yake kwa wale ambao wamewahi kuzitumia au wanauzoefu na vifaa vya kampuni hii.

Asanteni sana.
 
Hiyo bajaji usinunue,Kimahesabu ya siti na idadi ya watu inauobeba ni faida ila dereva atapata tabu sanaa kwanza haina balance hiyo kitu kuanguka chini ni fasta sanaaa
 
Mil 7.8 ni hela nyingi sana mkuu. Umeiona dukani au kwa wamiliki?

Ushauri:
•Ungeenda kwa mafundi bajaj uongee nao.
•Tafuta mmiliki (dereva) ulieona anaendesha piga nae story mbili tatu.
Milioni 8 ni nyingi sana pia bajaj ziko nyingi biashara ambayo inaupinzani wa kutosha siyo biashara. Any business which has un necessary competition is not a business
 
Habari zenu wana Jamiiforum bila kuwachosha naombeni ushauri juu ya hii bajaji.

Ni kampuni ya Sinoray J3 ina uwezo wa kubeba watu 8, cc 200. inatumia rejeta nimeiona nikaipenda sana na bei yake ni M7.8 maana nimeona kama inafaa zaidi kulingana na idadi ya watu inaobeba.

Naombeni ushauri wenu kuhusu changamoto zake na mapungufu yake kwa wale ambao wamewahi kuzitumia au wanauzoefu na vifaa vya kampuni hii.

Asanteni sana.
Weka na picha acha kutupa maelezo peke yake
 
Ok any way forward Mr business admin?
Unapotaka kufanya biashara yoyote ile nilazima uijue utaijua baada ya kufanya utafiti wa soko lake hapo nilazima uhusishe kuwaangalia wapinzani wako kwa kujua mapungufu na nguvu za kwajipambua na wewe mwenyewe
 
Habari zenu wana Jamiiforum bila kuwachosha naombeni ushauri juu ya hii bajaji.

Ni kampuni ya Sinoray J3 ina uwezo wa kubeba watu 8, cc 200. Inatumia rejeta nimeiona nikaipenda sana na bei yake ni M7.8 maana nimeona kama inafaa zaidi kulingana na idadi ya watu inaobeba.

Naombeni ushauri wenu kuhusu changamoto zake na mapungufu yake kwa wale ambao wamewahi kuzitumia au wanauzoefu na vifaa vya kampuni hii.

Asanteni sana.
Picha tafadhali
 
Nenda TV'S....then sajili uber bolt huko kuna pesa lakini lazima uwe na leseni wengi hushindwa hapo.....bajaj nyingi dereva hawana leseni.....
 
Back
Top Bottom