Recent content by gloryrimoy

  1. gloryrimoy

    JamiiForums Tanzania Mabint wa kimarangu

    Shida yako mtoa mada unaonekana hupendi kutafuta ela bali unataka kutafutiwa,nakweleza wazi wamarangu ni wasomi na wanawake si lelemama,hatujajibweteka,tafuta ela ikuzowee ndo kauli mbiu yetu
  2. gloryrimoy

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mke wangu: Sheria inasemaje?

    Mpe mtoto haki yake ya msingi,na ndo mana uliamua kuishi nae ukiwa kama baba mlezi,kama sivyo ungemwambia amtafute baba wa mtoto tangu awali.je ingekua ni wakwako ungeongea haya ya kutaka kumnyanyapaa mtoto? Mgogoro wako na mkeo suluisheni na si kumchanganya mtoto.mnaonekana nyie ni wababe...
  3. gloryrimoy

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mke wangu: Sheria inasemaje?

    Hilo si suluisho la tatizo,unaweza kuoa ambaye ajazaa ikawa mapichapicha zaidi.la maana kueshimiana,kupendana na mtu kujua taratibu zake akiwa kama mama wa familia.inaonyesha huyo mkeo akufundwa namna ya kuishi na mume au ni dharau ya kubadilika ukubwani,aache ujinga anataka nani akupigie pasi...
  4. gloryrimoy

    JamiiForums Tanzania Raisi Kikwete ndie Raisi wa mwisho kupitia CCM kutawala nchi hii

    Kweli ccm wapumzike kwa amani
  5. gloryrimoy

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM aunguruma

    Ccm sina hamu nao
  6. gloryrimoy

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

    Je huyo ni mkeo kweli unayempenda? Acha ujinga,je wewe ujambagi? Unataka avimbiwe kwa kukyogopa wewe? Na je unataka ajiachie kwa nani sasa? Mbona haukui? Hii si sehem ya kumshushia mkeo heshima,ungejiposti wewe mwenyewe,inaonekana haumpendi uyo mwanamke,mbona ni marashi kama uyatoayo wewe? Na...
  7. gloryrimoy

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu Kurudiana Na Diamond Platinumz Imekuwa Laana Kwa Nyota Yake!!!

    Huyo jamaa ni mshamba
  8. gloryrimoy

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Arusha, Vijana waendesha bodaboda waizingira ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Mbunge

    Ingawaje nao bodaboda wakati mwingine wanakua na makosa,ila hawa traffiki wamezidi na si kwenye bodaboda tu,hadi kwenye daladala,mali yako lakini unakuta unawafanyia kazi wao,pesa yote wanakukomba barabarani,ukugoma kutoa rushwa wanakubambikia makosa,wajirekebishe jamani.
  9. gloryrimoy

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Arusha, Vijana waendesha bodaboda waizingira ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Mbunge

    Nipo maeneo haya,hakufai huko nje,naona jeshi linajipanga,hawa jamaa wa bodaboda hatari sana,acha niendelee kuangalia kwa dirishani tu
  10. gloryrimoy

    JamiiForums Tanzania Balozi aibiwa simu Ikulu kwenye dhifa ya kitaifa ya sherehe za Mapinduzi

    Hayo ndo mapinduzi hadi ikulu,uraiani tutafanyaje? Tanzani noma sana (majanga)
  11. gloryrimoy

    JamiiForums Tanzania Mch. Msigwa azidiwa ghafla na kukimbizwa Hospital

    Pole sana mchungaji
  12. gloryrimoy

    JamiiForums Tanzania Nataka kumsaliti mume wangu

    Ushauri wa nini unaomba? Wakati tayari unataka kumsaliti
  13. gloryrimoy

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu haya ni majangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    Ulitaka utinzwe wewe? Ndo maana ya kufanya kazi kwa jasho
Back
Top Bottom