Hahaha!!chief chakarika au na wwe hupendi hela basi kaa bla kufnya kitu,wanapnda hela because it's easy to cry in a BMW than on a bicycle lol!!
Mkuu usiumeume maneno! huko ndo kupenda pesa kwenyewe! Si dhambi kupenda pesa! Lazima kupambana kuinua uchumi!hakuna kitu kama icho wajameni maaana naona munawahukumu bure wasiohusika amekosa mmoja ndo muwaseme mkoa mzima mmmmmh we mtoa mada ujitambui mimi wakwangu apendi pesa kama unavosema ila anapenda nitafute kwa ajili ya kwangu na yake yaaani ipo ivi pesa kwaa wanaume ni lazima tutafute kwa njia yeyote ile ispokuwa ku.......flw
\
Shida yako mtoa mada unaonekana hupendi kutafuta ela bali unataka kutafutiwa,nakweleza wazi wamarangu ni wasomi na wanawake si lelemama,hatujajibweteka,tafuta ela ikuzowee ndo kauli mbiu yetu
koma!!!! me ni mmarangu na wanaume nilikuwa nao wote mbona hawafikisika ukomeeee umeokota kinega chako huko unajumuisha wote loh!
wewe tafuta pesa acha kulalama mapenzi na njaaa aipo hiyo heshima pesa wewe,... vingine vyote mbwembwe......
swali kama hakuna kwann wanawake wa nchi za wenzetu wa namapesa ila wanaolewa kwa mda 2 awadumu katka ndoa zao
koma!!!! me ni mmarangu na wanaume nilikuwa nao wote mbona hawafikisika ukomeeee umeokota kinega chako huko unajumuisha wote loh!
wewe tafuta pesa acha kulalama mapenzi na njaaa aipo hiyo heshima pesa wewe,... vingine vyote mbwembwe......
Haika Mae...Umenikuna
Ni hasira kali ama??
heleri mbele meku.
mbiito yekyekumbo.