Recent content by Glory Ambroce

  1. G

    Anayejua anisaidie namna ya kudhibiti Sisimizi

    mmm jaman nina wiki dodoma sipiki wala siliagi chochote nyumban mmm ata ukideki baada ya nusu saa wapo ebu nielekeze napata wapi iii Akheri powder
  2. G

    Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    Nenda zako umepitwa na wakati Mzeee Nenda zako una macho lakini aushibi Mzee Nenda zako una kula lkn Auwezi kufikiri Mzee BILA MUNGU MUUMBA WA NCHI NI KUPOTEZA MUDA SIO MWANADAMU AMBAYE KESHO YAKE HATUIJUIIII
  3. G

    Mengi kabahatika sana kushuhudia mahasimu wake wakidhalilika katika kipindi kifupi sana

    Your right Mungu wetu ni mpole na si mwingi wa hasira ni kweli amesimama na kuwaumbua wengi . Asante Baba maana ni kwa neema na uwezo wako tuuuu.
  4. G

    Kwanini Lowassa sasa analilia UKAWA?

    UKAWA wanaweza wakampa tu maana ataongoza kwa misingi na itikadi za chadema na cio tena ccm so wanaweza wakampa namba kama ktk kikosi chao kuna chance .
  5. G

    Watu hawamjui vizuri Kikwete

    haaaaa jaman alipokuwa anakutumia c alikulipa kwa ulichofanya so mlitaka awagande hao watu kwani yey kupe nakufanyia kazi unanipa changu nasepa . life goes on
  6. G

    Sitaki kuitwa nabii kwa hili

    Maadamu Mungu wetu ni mwingi wa Rehema na usikia maombi ya wenye haki hasa wakiomba kwa bidii vivyo basi atatupa mtu ambaye ni kusudi lake...... lakini yoyote mwenye nia ya kuiagawa nchi yetu kwa misingi ya kidini na kikabila hataiongoza nchi hiiiiiiii.
  7. G

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    mmmm kumbe na wew umeziona Diploma mwaka mmoja duuuuuu:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces: Izo ni certificate cio diploma uyo alioandika kaamua kurefusha izo shule ili Cv ikue
  8. G

    Nafasi ya kazi: Mhudumu wa ofisi

    Wewe tuma cv wakiikubal CV yako utaitwa kwenye Interview. Acha porojo
  9. G

    Siasa na Dini mapacha wanaofanana ama wasiofanana?

    Kanisa ni sehm ya kuabudia na watu wanakutanika pale kwa lengo la kumwomba aliyewaumba Chama cha siasa ni sehemu watu wanapokutanika kujadili maslahi ya watu na jinsi ya kuwaongoza
  10. G

    Siasa na Dini mapacha wanaofanana ama wasiofanana?

    Dini hazijapitwa na wakati dini ni njia au sehem ya watu wanapokutanika sasa zikipitwa na wakat lazma uanze ww kwanza
  11. G

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Ivi sisi watoto wa juzi tunataka kumiliki mali sawa na wazee wetu hiii ni sawa ci SAWA na kamwe haiwez kuwa sawa kingine zamani fursa zilikuwa nyingi tofaut na sasa zaman kuweza ilikuwa ni rahisi tofaut na sasa wasomi walikuwa wachache na science na technology ilikuwa bado sio sasa dunia imekua...
  12. G

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Inasikitisha kwamba mtu ambaye ameweza kuongoza nchi na kuwa kiongozi tangu mm cjazaliwa awe amiliki chochote Hongera LOWASA maana wew c kama wengine wakipata pesa wanataka kujilimbikizia wanawake kama wengine wanavyofanya na kutaka kumiliki wake za watu wawe wao na kutembea na watoto wa watoto...
  13. G

    CHADEMA wahangaika kuuzima moto wa Zitto Mbeya

    mmmm kiukweli Bunge limepoa twende mbele turud nyuma Zito mtamkumbuka japo is too late kaza buti kakaa maaana kwasasa anafaham weakness of those two sides
  14. G

    Uandikishaji wa BVR kwa mkoa wa Dar es Salaam

    ILALA nimeona Tangazo lao angalia kazi bongo na wenyew mwisho tar 19 /6 barua unatakiwa uandike kitongoji unachotoka
Back
Top Bottom